Wahandisi wa barabara mpo? Mbona hii barabara mpya inatumaliza sisi wananchi na nyie mnaangalia? Upembuzi yakinifu ni mbaya kabisa kwani kwenye makutano ni ajali kila siku kuanzia Lugalo hadi Mbuyuni.
Hatua stahiki zichukuliwe kurekebisha hizi kasoro.
Madereva nao wazingatie kiwango cha mwendo uliowekwa kwenye mabango!
Pia afafanue, upekumbuziyakinifu kwenye ujenzi wa barabara unahusika nini n ajaliHebu fafanua vizuri, barabara zinasababisha vipi hizo ajali kunako makutano?
Baa zimezidi njia hiyo!.
Hii bara bara ya Bagamoyo road bure kabisa
Hii bara bara ya Bagamoyo road bure kabisa