Napenda kuwauliza wenzangu hivi Kwa tathimini yenu ndogo kweli itasaidia kupunguza foleni au ni shida tuu Leo nimekaa kwenye foleni masaa matatu.Mimi Kwa uelewa wangu nashauri magufuli awake flyover kwenye traffic light wananchi tunapata tabu sana jamani.