Barabara ya morogoro

acha matata

Senior Member
Jan 5, 2011
165
39
Kumekuwa na rumours za mipango mingi ya ujenzi wa barabara Tanzania. Baadhi ni zile za fly over kwenye makutano mbalimbali jijini DAR. Hata hivyo, baadhi ya hizo rumours zimeishathibitishwa kuwa ni mipango ya kweli na ujenzi kuonekana kutaka kuanza.

Hata hivyo, swali kubwa limebaki kwenye hii rumour ya barabara ya morogoro kujengwa njia 6 na kuwa pesa tayari zimetolewa. JF limekuwa jukwaa la elimu na ufahamu kwajamii na habari zake kuwa za kuaminika kwasababu ya profile ya watu wake na namna mijadala inavyoendeshwa humu. Kwa sifa hii ya JF, nimeamua kuuleta huu uzi tujuzane kuhusu hii rumour na tupeane ufahamu zaidi. Nawakilisha
 
Back
Top Bottom