John Kachembeho
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 560
- 389
Somewhere karibu na Kibaha barabara ya Morogoro imezibwa kwa mawe na wananchi. Sababu kuna mtu amekufa jirani na barabara kama siku tatu zilizopita, taarifa ikatolewa polisi hakuna hatua iliyochukuliwa, sasa wananchi wameziba njia kushinikiza polisi wauondoe mwili wa marehemu!