Barabara ya Morogoro haipitiki baada ya kutokea ajali

Mi nilijua daraja limevunjika kumbe ajali maana hii kamba so mchezo day!
 
Sasa mbona hujaweka picha rafkiangu.
 
daaah we jamaa hapa cha muhimu ilikua ni kutueleza zaid kuhusu hyo ajali kiundani....weee umeona muhimu kutoa taarifa kwa wapita njia tu....daaaahhh
 
daaah we jamaa hapa cha muhimu ilikua ni kutueleza zaid kuhusu hyo ajali kiundani....weee umeona muhimu kutoa taarifa kwa wapita njia tu....daaaahhh
Muhimu ni kuokoa muda wa kukaa kwenye foleni.

Sijafika eneo la ajali, nimepitia Bagamoyo to Dar kutokea Mlandizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…