KERO Barabara ya Mbande - Mvuti ni mbovu sana

KERO Barabara ya Mbande - Mvuti ni mbovu sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

baba gabi

Member
Joined
Apr 11, 2022
Posts
12
Reaction score
10
Habari wanajamiiForums, kero ya barabara ya Mbande hadi Mvuti, tunaomba wanaohusika wajitathimini.

Mkandalasi hayupo site na barabara ni mbovu, hasa eneo la soko la Mbande.
 
Daaah kweli kabisa..
Ndo mana kwenda chanika kupitia hiyo road ni noumaaa kweli kweli
 
Ndo shida ya viongoz wetu wanatengeneza panapo onekana ila balabala chocho ni mbov.. Ukiangalia balabala mbagala yeny kiwango imeishia rangi tatu kula kona ya kwenda kisewe hapo kat dereva ni kuchengana na mabonde tu.
angarau ya kwenda kisemvule
 
Back
Top Bottom