Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,773
- 2,383
Hata kama mkataba wao ulikuwa ni kujenga barabara tu bado barabara yenyewe ni substandard. Mimi nikiwa mkazi wa Mbagala na kidogo nina uzoefu wa ujenzi wa barabara .................
Hata kama mkataba wao ulikuwa ni kujenga barabara tu bado barabara yenyewe ni substandard. Mimi nikiwa mkazi wa Mbagala na kidogo nina uzoefu wa ujenzi wa barabara nina wasiwasi kama Consultant anafuatilia specification ipasavyo. In general drainage is the heart of road construction sijui setup hii ya Kilwa road ya kwamba Mfadhili anajenga hiki na Tanroads kile imeanza lini. Kwa ufahamu wangu kidogo katika miradi kadhaa niliyoifanya Serikali huwa inahusishwa (local component) kwenye compensations (wakati wa upanuzi wa barabara na relocation of service utilities). Hata hivyo Layer ya asphalt 45/50mm is incredible kwa Barabara inayotoka nje mkoa/nchi, and those kerbstones they are a real zimamoto business they get easily crushed even by motorbikes. Bus stop shelters nazo sijui kama zinafaa kwa mvua au jua. Back 2 drainage issue nina wasiwasi kuna mtu ametumia influence yake kuwalazimisha jamaa (Kajima) kusubcontract that part works. Kuna wakati Contractor ameonyesha kushindwa ku-maintain detours na kusababisha inconveniences kwa watumiaji wa barabara wakati kwenye contracts nyingi Mkanadarasi anatakiwa na analipwa kufanya hivyo.
Yaani ni hivi, ile Barababara ukilinganisha na ile ya Sam ya Mwenge Ubungo japo ilichelewa kumalizika ni bora..
Wana jamii JF, tuchangie hii hoja ya utekelezaji wa barabara ya Kilwa(Kilwa Rd).
Mfadhili wa barabara hii ni serikali ya Japan na mjenzi ni kampuni ya Kajima.
Tofauti na sifa nzuri za kampuni za kijapani kampuni hii ya Kajima imejenga barabara ambayo sasa hivi imeshaanza kuharibika.Kuna kuvimba katika sehemu mbali mbali za barabara hii.
Miundombinu ya maji ni duni kabisa au haipo.
Ukilinganisha na kazi iliyofanyika na kampuni ya Konoike zaidi ya miaka 10 iliyopita wadau tuna wasiwasi kama barabara hii ita dumu zaidi ya miaka 5.
Imekaaje wadau hasa wanaoitumia barabara hii kila siku?
Barabara haijamalizika kujengwa wala haijakabidhiwa rasmi kwa wahusika mshaanza kuiponda, hebu kuweni na subra kidogo, akaa.
Yakhe, DA es salaam, mradi ule kwa taarifa yako uko katika wamu mbili.Awamu ya kwanza ilimalizika mwaka jana na ndio inayolalamikiwa, haijakabidhiwa kweli lakini si dalili ya mvua ni mawingu?
Nakuomba tembelea hiyo sehemu, Mdarisalamu, na ujionee.
Ukiona mdebwedo unakuja kaa chonjo yakhe usije kabidhiwa mbuzi kwenye gunia , kumbe paka.
Yaani ni hivi, ile Barababara ukilinganisha na ile ya Sam ya Mwenge Ubungo japo ilichelewa kumalizika ni bora. Yaani eti Kajima wamejenga barabara ina mabonde tu, yaani imeshabonyea. Kuna rafiki yangu karibu angepata ajali pale Mivinjeni kwani aliingia ndani ya mabonde ya barabara akarushwa juu kichizi. Yaani sielewi ujenzi ule. Round about zenyewe hasa ile pale Mgulani/Jitegemee sielewi kama imejengwa kwa vipimo maana wakati mwingine magari yanavaa ukuta ule. Siku hizi serikali ya Tanzania hakuna ubora tena, walishajua viongozi wapenda ubora walishatangualia mbele ya haki au wengine walishastaafu so serikali imekuwa shamba la bibi. Kila consultant and mwekezaji anajifanyia anavyotaka. Halafu utakuta hawahawa mamlaka za Tz zinazohusika ndizo zinawa diverge hawa contractors ili kazi nyingine wa sub-contract ziende kwa ndungu au marafiki au wao wenyewe na vikampuni uchwara. Au pia kufanya hivyo ili kufunika ile ten percent. Sasa kwa hawa Kajima na Japan yao nilitegemea kuwa barabara ile ingekuwa first class!!!! to my suprise ni uozo na wizi mtupu na sijui kama itadumu.
Dar Es salaam,
...hata kabla ya kukabidhi barabara kwa client kuna tests inabidi zifanyike.....kwa jinsi watu wanavyoelezea na kuwa eti iko ukingoni kukabidhiwa.......inaonekana imesha-fail "rideability test".......kwa sababu ana average person hatakiwi kabisa ku-feel uncomfortable while driving.....achilia mbali measuring rideability kwa kutumia instruments maalum............na mkandarasi hutakiwa kulipwa baada ya checks kama hizo kufanyika.....otherwise....HATAKIWI KULIPWA KABISA.......
....kwa kifupi wahusika (Client-wanaotuwakilisha sisi wananchi) wanaambiwa kuwa barabara iliyojengwa ina mushkeli........kwa hiyo......wawabane supervisors na wajenzi wa barabara hiyo.........nothing less.......we are tired of these mediocre stuffs.....