A
Anonymous
Guest
Iringa road Dodoma kipande cha Mkonze kuanzia sheli ya Weruweru hadi Cross over ya SGR vumbi limezidi,,
Mkandarasi wa SGR aliharibu lami wakati wa kutengeneza daraja cross over, naona amemaliza lakini lami haijarudishiwa.
Vumbi ni kero na barabara mbovu ukizingatia ina mteremko mkali, sio salama kwa watumiaji
Hili vumbi linaathiri pia watu wenye shughuli zao pembezoni mwa barabara hii, na madhara ya kiafya pia, Kila siku kutibu mafua