Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 913
- 585
Buhongwa, Sahwa, kanindo, kishiri hadi fumagila panastahili lami
Mkuu leo kuna catapiler la manispaaa lilikuaa lina kwangua barabara hapa kishiri
Sisi wa Mecco buswelu tu unashukuruLuchelele hali ndo haifai ni shida jamani.halafu barabara za ilemela nyingi ni nzuri
Kwako Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Meya na Naibu Meya wa Jiji la Mwanza, Mkurugenzi TARURA mpaka mamla husika hapa jijini Mwanza.
Kwako Rais wetu mpendwa Dr. John Magufuli. Rais wangu kipenzi cha Watanzania watajwa hapo juu wameifumbia macho BARABARA ya IGOMA Kishiri, ambacho ni kipande kidogo sana ambacho watajwa hapo juu wanaweza ku deal nacho.
Mada: Mh BARABARA hi ni mbovu mbovu saaana, ssasa ina mashimo kama creta za Ngorongoro. Magari na vyombo vingine vya Moto vinapita kwa shida.
Unatumia dk 30_45 toka IGOMA Kishiri. Badala ya dk tano. Wagonjwa na akina Mama wajawazito Ni taabu kutumia BARABARA hii.
Mh, Rais wetu mpendwa, Kishiri, Kanindo, Fumagila nk wakazi wa maeneo haya ni wengi na BARABARA tegemeo ni hiyo.
Mh. Rais wetu mpendwa, ikikupendeza uliza tu wa teule wako Wana mpango gani na kipande hicho kibovu cha BARABARA kitumiwacho na hawa wananchi wa nyonge?
Asante.
Tuendelee kuchukua tahadhari CORONA INA KINGIKA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi pia mlikosea kuchagua Kama wengine wanavyoambiwa au mkuu wenu wa mkoa ni Chadema kiasi kwamba hawezi omba pesa kwa rais ili kuiwekea lami hiyo barabara?Kwako Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Meya na Naibu Meya wa Jiji la Mwanza, Mkurugenzi TARURA mpaka mamla husika hapa jijini Mwanza.
Kwako Rais wetu mpendwa Dr. John Magufuli. Rais wangu kipenzi cha Watanzania watajwa hapo juu wameifumbia macho BARABARA ya IGOMA Kishiri, ambacho ni kipande kidogo sana ambacho watajwa hapo juu wanaweza ku deal nacho.
Mada: Mh BARABARA hi ni mbovu mbovu saaana, ssasa ina mashimo kama creta za Ngorongoro. Magari na vyombo vingine vya Moto vinapita kwa shida.
Unatumia dk 30_45 toka IGOMA Kishiri. Badala ya dk tano. Wagonjwa na akina Mama wajawazito Ni taabu kutumia BARABARA hii.
Mh, Rais wetu mpendwa, Kishiri, Kanindo, Fumagila nk wakazi wa maeneo haya ni wengi na BARABARA tegemeo ni hiyo.
Mh. Rais wetu mpendwa, ikikupendeza uliza tu wa teule wako Wana mpango gani na kipande hicho kibovu cha BARABARA kitumiwacho na hawa wananchi wa nyonge?
Asante.
Tuendelee kuchukua tahadhari CORONA INA KINGIKA
Sent using Jamii Forums mobile app
Luchelele utafikili hakuna diwani kumbe yupo tena katekista visent lusanaLuchelele hali ndo haifai ni shida jamani.halafu barabara za ilemela nyingi ni nzuri
Jamaa Mkuu wa mkoa anahusikaje na barabara zaidi ya kusimamia matumizi bora pesa zinazoletwa?Ninyi pia mlikosea kuchagua Kama wengine wanavyoambiwa au mkuu wenu wa mkoa ni Chadema kiasi kwamba hawezi omba pesa kwa rais ili kuiwekea lami hiyo barabara?
Zote zina lami hizo mkuu waliweka last year! Au unasemea zipiNyamagana awamu ya pili barabara nyingi mbali na mjin kati zitakumbukwa na kuwekwa lami. hasa zinazounganisha Barabara ya Kenyatta na Nyerere Road bila kupita mjini kati.
Sidhani kama ni mTz huyoJamaa Mkuu wa mkoa anahusikaje na barabara zaidi ya kusimamia matumizi bora pesa zinazoletwa?