Barabara ya Hatari Zaidi Duniani

Hayo maji chini ya barabara yanafafanana na maji ya Lake Ngozi
 
Barabara haiwezi kususpend umbali mrefu bila kuwa na supporting structures.

BTW hapo kama huna gari za maana hupandi hiko kilima.

I second you, on top of that hiyo slope ni kali sana almost 90° , which means gari kupanda hapo ni ngumu, unless hakuna effect ya gravity!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…