Wadau sijui ni Tanroad ama Tarura,tunaomba mtujuze kunani pale kwa dole,kipande kifupi hakizidi hata mita 130 kinachukua Takribani miezi mitatu kutengenezwa huku barabara imefungwa. Mnatuchepusha kwenye nyumba za watu mpaka kuta zao zinakaribia kudondoka. Hebu liangalieni suala hili.