Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
we we we ushauri gani huu mzee?Kawaida.
Unless Daraja liwe limevunjika ndio itakua breaking News. Pole kwa mwenye mali. Kama raia wema wapo karibu wachomoe waya wa betri na waendelee kuokoa mafuta kwa kuyakinga na kuwauzie wapita na magari wengine ili kuokoa fedha za kigeni zilizotumika kuyaagizia ugaibuni na wao wajipatie riziki.
Ila wavuta sigara hawaruhusiwi wasije wakasababisha mlipoko ikawa noma.
kuna ile njia ya Dar kuitia bagamoyo kuelekea msata. Hii ni njia nzuri sana hususan kwa magari madogo. Njia lami kutoka Dar mpaka bagamoyo. ila kutoka bagamoyo ni njia ya vumbi ( sijui kama imetiwa lami siku hizi.) mi nilipita mwaka jana Sept kwenda Tanga

Ushauri murua mkuu yasije yakatokea kama yaliyotokea Kenya.inabidi kuwepo na ulinzi wa kutosha si kama unavyojua wabongo, wana njaa kama nini
hivyo nashauri kamanda wa polisi mkoa wa pwani aimalishe ulinzi vinginevyo watu watapigana na watataka wakachote mafuta mpaka kwenye kwenye vijiko