kijiji gani,mkuu? Mbona asilimia 80 ya road ina matuta? Wale tunaoenda kuhiji moshi sijui itakuwaje
Kwani sheria zinadondoka toka mbinguni ili tusema sheria kama hii bado haijadondoka? Siku zote sheria hutungwa kulingana na mahitaji ya wakati na mahali. Hakuna dhambi kuweka matuta kwenye sehemu ambazo watu huvuka kwa wingi kwa miguu ili kuzuia ajali. Tuacheni ubifsi kwa kuwa tuna magari na hatuishi kwenye hayo maeneo basi tujifanye hatuoni umuhimu wa kuokoa maisha. By the way..... highway unazijua au unazisikia?ni kweli hakuna sheria ya matuta highway. wananchi wanatakiwa waeleweshwe kuwa na taadhari wanapovuka au kupita pembeni mwa highways thats all
Highway ndio nini? Je ulimaanisha expressway au freeway? Kama ni hivyo Tanzania hatuna freeways.ni kweli hakuna sheria ya matuta highway. wananchi wanatakiwa waeleweshwe kuwa na taadhari wanapovuka au kupita pembeni mwa highways thats all
Watz kwa kawaida hatuko makini, inatakiwa sasa tujirekebishe,njia zetu zina vijiji kibao sasa ukisema waweke matuta si njia nzima itakuwa matuta???????????????????????Highway ndio nini? Je ulimaanisha expressway au freeway? Kama ni hivyo Tanzania hatuna freeways.
Freeway = mwendo mkali
Highway= barabara yoyote inayofuata viwango.
Sasa hio highway inapita kwenye vijiji haiwezi kuwa freeway. Lazima mwendo upunguzwe, na matuta ni aina mojawapo ya vipunguza mwendo, vinginevyo weka mapolisi kuhakikisha madereva hawazidishi mwendo kuhatarisha maisha ya watembea kwa miguu.
Kama serikali inataka kuzifanya freeways, basi inabidi itenganishe magari na watembea kwa miguu.
Hapo Usa river mwezi ulopita tu, Wanachuo wa Tumaini nao walifanya hivyo hivyo mwenzao kagongwa wakaja kufunga njia eti wanataka matuta, FFU ikapitisha kichapo wakatakimbia njia ikafunguliwa na hadi leo hakuna tuta pale
wananchi wamefunga njia wakidai matuta baada ya gar kugonga mtu, kuna folen ya kufa mtu
Barabara zinatumika na watu wa aina mbalimbali vichaa, watoto, walevi nk... Sehemu wanakovuka watu kwa wingi kuna vibao vya kuelekeza madereva waendeshe kwa speed ndogo lakini hawafuati....Matuta ni lazimaWatz kwa kawaida hatuko makini, inatakiwa sasa tujirekebishe,njia zetu zina vijiji kibao sasa ukisema waweke matuta si njia nzima itakuwa matuta???????????????????????
Ndio maana tunadharauliwa na wenzetu wa nchi za EAC na kungwineko, uwezo wa watanzania kufikiri ni hafifu sana. kwanza barabara ni nyembamba, single lane eti ndo inaitwa highway bora zingekuwa dual carriage. halafu highway inapopita maeneo ya watu lazima iwekewe fensi pande zote ili kuzuia watu na wananyama kukatisha ovyoovyo. barabara hazina road sign, zikiwekwa inakuwa ni halali ya raia wema kutengenezea majiko ya mkaa. Raia mbumbu vijijini hawajui namna ya kukatisha barabara wala hakuna anaye jali kuwafundisha. Magamba wao wanakazi moja tu kulala maskini na kuamka billionea.Watz bwana hiyo ndio njia rahisi kukabiri tatizo??? hata kama kosa ni la huyo aliyegongwa???waishio karibu na hizi barabara ni wajibu wao kujua sheria za usalama barabarani.Nina imani kwenye hiyo foleni kuna wagonjwa wanaletwa dar kwa matibabu zaidi wanaumia tu hapo lugoda.