KERO Barabara ya Chalinze kwa Mwarabu hadi TALAWANDA SEKONDARI hali ni mbaya, Daraja la Mbiki linatumaliza

KERO Barabara ya Chalinze kwa Mwarabu hadi TALAWANDA SEKONDARI hali ni mbaya, Daraja la Mbiki linatumaliza

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
427
Reaction score
666
Barabara ya kutokea Chalinze kwa Mwarabu kuelekea Talawanda Sekondari hali ni mbaya kutokana na Daraja la Mbiki kuwa bovu, kila mara wananchi wanapata madhara ikiwemo kupoteza maisha, tunaiomba Serikali itanue daraja hilo pia waweke mitaro ya maji kwani mvua zikinyesha maji yanajaa barabarani.


 
Mtu na akili zako timamu unaishije kwa Mbiki? Serikali kwa kifupi haiwezi kuleta maendeleo yoyote Kibaha mfateni Mfinanga akawasaidie
 
Back
Top Bottom