mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana JF,
Mwanzoni mwa mwaka 2000 baada ya Rais mstaafu BWM wa awamu ya tatu kumteua Waziri wa ujenzi Magufuli kwa wakati ule, kasi ya awali ilikuwa ni kuwaondoa wakandarasi waliokuwa wanajenga barrabara ya bagamoyo , kutoka tegeta nyuki hadi bagamoyo. Barabara hii ikiwa na miaka kumi na zaidi imeonekana kuwa bora kufuatana na uimara wake ukilinganisha na barabara nyingine ambazo zilijengwa sammbamba na barabara hii.
Kwa ufupi designer wa barabara hii hakuweka mifereji ya maji ya mvua kuzuia mmomonyoko, lakini cha ajabu kulikuwepo mtu amepewa tenda kuweka mifereji lakini hakufika mbali kwani haonekani kuijenga tena yapata miaka mitatu hivi, kiwango cha mjenzi huyu hakina upembuzi yakinifu jinsi ya kumaliza tatizo la mmomonyoko, kwani mifereji ameiweka mbali na barabara kiasi kwamba mpaka maji yafike kule bondeni , yanakuwa yamega vipande vingi vya mmomonyoko.
Muundo aliotumia kujenga mifereji unaonekana ni wa zamani au hakujua faida zifuatazo kuhusu uwekaji wa mifereji karibu na barabara:-
Mifereji iliyojengwa kwa karibu sana na barabara:-
1. Kupeleka maji haraka bondeni kabla hayajaanza kumomonyoa kuta za barabara.
2. Kupunguza overtaking kwa watu waliobobea kuovertaki pindi wapatapo upenyo kwa kuwa mfereji unampa uoga ikiwa atafeli kurudi.
3. Huzui baadhi ya magari kuegesha ovyo barabarani, mfano pale makongo jeshini,
4. Huzuia watu kujianzishai njia za kuingia na kutoka barabarani kwani ni mpaka wavuke sehemu maalum iliyoachwa kwa ajili ya kuingia na kutoka, hapa magari uwekewa kizuizi kuingiia barabarani hovyo
5. Huweza kuwapa kuwapa njia bora dawasco ili kuweka mabomba yao kwa ufanisi kwa mpagilio nzuri ili yasiharibiwe wakati wa kukarabati barabara.
6. Hupunguza ajari kwa wavukao kwa miguu kwani uwababa wapita pembeni wasitumie sehemu hizi kufuatana na upenyo kuwa ndogo.
NB:
Kama mnataka kuilinda barabara hii bora mmpe mkandarasi aliyejenga barabara ya mwenge morocco kwani ameonyesha usanifu wa kazi nzuri alyoifanya katika barabara hii.