Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,404 Reaction score 88,861 Jul 25, 2018 #21 Jmc06 said: Kwahiyo anayemkomalia mkandarasi mradi uishe ni nani?,waziri wa ujenzi aliyepita?, nawewe ukiondoa siasa kichwani mwako utanielewa. Click to expand... Nani kakwambia mradi uko chini ya wizara ya ujenzi? Kanywe maji ulale.
Jmc06 said: Kwahiyo anayemkomalia mkandarasi mradi uishe ni nani?,waziri wa ujenzi aliyepita?, nawewe ukiondoa siasa kichwani mwako utanielewa. Click to expand... Nani kakwambia mradi uko chini ya wizara ya ujenzi? Kanywe maji ulale.
kiwiko JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 1,341 Reaction score 2,220 Jul 25, 2018 #22 Bora hivo...mitaro ikiwa pande mbili kwa barabara za lane 2 zinakua finyu sana ila mtaro mmoja unaongeza nafasi ya barabara
Bora hivo...mitaro ikiwa pande mbili kwa barabara za lane 2 zinakua finyu sana ila mtaro mmoja unaongeza nafasi ya barabara
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,873 Reaction score 29,048 Jul 25, 2018 #23 Barabara ya Njia ya ng'ombe vipi nayo imenufaika na huo mradi?
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 29,094 Reaction score 93,059 Jul 25, 2018 #24 Sawa sawa