ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Bara Bara ni mtambo wa nini?Tunapongeza ujenzi unaoendelea huu wa Bara Bara za kiwango cha Lami huku mtoni kijichi ila wasiwasi wangu ni style ya kuchimbiwa mifereji upande mmoja tu wa Bara Bara nina wasiwasi hili lisije leta majanga huko mbele
Nahisi ujenzi wa mtaro upande mmoja wa barabara utaleta mafuriko katika baadhi ya mitaa kwa vile barabara zinanyanyuliwa sana na Pia itachangia barabara hizi kuharibika mapema kwa kukosa kingo upande mmoja.
Wahusika manispaa liangalieni hili.
Shukurani ziwaendee Ukawa kwa kazi nzuri iliyowashinda wapinzani wao CCM toka tupate uhuru 1961.Hongera sana Magufuri kwa kazi nzuri
Kote huko kutafikiwa mama.Ila wamekosea bana.. Wangeanza tengeneza misheni ndio ingependeza zaidi..
Kwakweli wafike tu maana itakua haina maana kama kijiji barabara iwe inayoeleweka uku nyuma kuwe ovyoKote huko kutafikiwa mama.
Mkuu wale wachina wapo speed sana ni wa kupewa pongezi, kuhusu mitaro ondoa Shaka hata upande mmoja unatosha hakuna mafuriko yanaweza tokea Kijichi ipo juu juu ni Sawa na kutegemea mafuriko Makongo juu halafu sehemu kubwa Ina mchanga unafyonza maji ndo maana wanatapata shida kujaza udongo kote toka sehemu nyingine kwaajili ya stability,.Wameshaliona hilo.Inasemekana ela za barabara hizi zilikuwa zinatolewa huko nyuma watu wanazipindisha ila zamu hii haziliki za MOTO.Tunapongeza ujenzi unaoendelea huu wa Bara Bara za kiwango cha Lami huku mtoni kijichi ila wasiwasi wangu ni style ya kuchimbiwa mifereji upande mmoja tu wa Bara Bara nina wasiwasi hili lisije leta majanga huko mbele
Nahisi ujenzi wa mtaro upande mmoja wa barabara utaleta mafuriko katika baadhi ya mitaa kwa vile barabara zinanyanyuliwa sana na Pia itachangia barabara hizi kuharibika mapema kwa kukosa kingo upande mmoja.
Wahusika manispaa liangalieni hili.
Ilikuwa ziwe zimekamilika sawa na kituo cha afyaMkuu wale wachina wapo speed sana ni wa kupewa pongezi, kuhusu mitaro ondoa Shaka hata upande mmoja unatosha hakuna mafuriko yanaweza tokea Kijichi ipo juu juu ni Sawa na kutegemea mafuriko Makongo juu halafu sehemu kubwa Ina mchanga unafyonza maji ndo maana wanatapata shida kujaza udongo kote toka sehemu nyingine kwaajili ya stability,.Wameshaliona hilo.Inasemekana ela za barabara hizi zilikuwa zinatolewa huko nyuma watu wanazipindisha ila zamu hii haziliki za MOTO.
Mishe za Akina marehemu diwani Challe wengi twazijuaIlikuwa ziwe zimekamilika sawa na kituo cha afya
MAZWAZWA BWANA NA NDIO MANA KUNAKUPOKEZANA VIJITIMpe Kikwete sifa yake tafadhali. Sio mradi wa kipindi cha Magu huu
Muwe mnatumia japo akili kidogo, mradi wa kipindi cha JK ulishindwaje kuisha kipindi chake na nni kilometa chache?,unajua hela za hizi barabara zilishatoka huko nyuma zikaliwa serikali ya huyo unayemsema JK?,. Wakati mwingine ficheni ujinga wenu.Ndo nyie mwaweza kuja hapa kusema hatutaki hizo barabara tunataka demokrasia mmemezeshwa upumbavu na wanasiasa.Mpe Kikwete sifa yake tafadhali. Sio mradi wa kipindi cha Magu huu
Kwakweli wafike tu maana itakua haina maana kama kijiji barabara iwe inayoeleweka uku nyuma kuwe ovyo
Muwe mnatumia japo akili kidogo, mradi wa kipindi cha JK ulishindwaje kuisha kipindi chake na nni kilometa chache?,unajua hela za hizi barabara zilishatoka huko nyuma zikaliwa serikali ya huyo unayemsema JK?,. Wakati mwingine ficheni ujinga wenu.Ndo nyie mwaweza kuja hapa kusema hatutaki hizo barabara tunataka demokrasia mmemezeshwa upumbavu na wanasiasa.
Kwahiyo anayemkomalia mkandarasi mradi uishe ni nani?,waziri wa ujenzi aliyepita?, nawewe ukiondoa siasa kichwani mwako utanielewa.Na wewe utumie akili usione kila anaeandika anaandika kisiasa. Naandika sababu najua kila kitu. Huu mradi ni wa WB na ulianza 2014. Mscheewww. Usipende kubisha bisha na kuleta story zako za kisiasa. Hizo hela zilitoka kwenye mifuko yako au? Hujui kitu. Kajifunze kuhusu DMDP ndo ulete porojo zako tena.