Wanasayansi wanadai kuwa bara la Afrika lipo mbioni kugawanyika na kuwa mabara mawili. Eneo la Somalia kuelekea eneo lote la Afrika mashariki hadi nusu ya eneo la Afrika kusini yanatarajiwa kujigawa na kutengeneza bara lake linalojitegemea. Tazama video ifuatayo kwa maelezo zaidi