babu baa ni laana za kishetani.. kama upo serious nicheki inbox tufanye mpango hilo eneo tubomoe hiyo baa na tujengo kanisa au msikiti watu wa Mungu waendelee kupata mi-baraka na neema tele za mbinguni
Kwahiyo wenye bar wote wamelaaniwa? Acha kuhukumu usije ukahukumiwa! Toa kwanza boriti kwenye jicho lako! Wengine mna maovu kupindukia kuliko hata muuza na mnywa gongo! Kuna mnayofanya huko hata shetani anaduwaa! Sebuse anaepiga bapa lake akaenda kulala