Mkuu kama huna mshiko ni wewe! Watu wanakula bata kama kawaida!Bora uwahi uachie wengine maumivu... Kodi za vinywaji zimeshapandishwa Pombe marufuku kuuzwa Asubuhi na Mchana.. Watu hawana Pesa.. Mapedezhee wameisha na wale waliokuwa wakijiita maraisi wa Sinza,Mbagala,Ubungo Ngada Kitwanga aliidhibiti na tunapoenda Pombe atazuia uagizwaji wa Pombe za Nje na za Ndani zitakosa wanunuzi... Mkuu Nakushauri eneo la Baa ufungue Kiwanda Serikali itakupa Tafu mambo ya Starehe yashapitwa na Wakati sasa ni Kazi tu... sera ni nchi ya viwanda na si Matanuzi pombe imesababisha michango ya harusi iwe mikubwa am sure itapungua kiwanga cha single na Double...
Mkuu time will tell you vuta subira tu... kuna vitu vingine havihitaji darubini kutizama...Mkuu kama huna mshiko ni wewe! Watu wanakula bata kama kawaida!
Biashara ya Bar sasa hivi majanga mkuuMkuu time will tell you vuta subira tu... kuna vitu vingine havihitaji darubini kutizama...
hatutaki ma-pombe tuletee mambo ya maana sio hayo mabiashara ya anasa na yanayochochea zinaa, uzinifu, upotevu wa pesa, maambukizo ya magonjwa ya kisasa.Bado ipo!
Wewe ndo hutaki usiwasemee wenzako! Si lazima kuchangia! Anzisha wako wa mahubiri!hatutaki ma-pombe tuletee mambo ya maana sio hayo mabiashara ya anasa na yanayochochea zinaa, uzinifu, upotevu wa pesa, maambukizo ya magonjwa ya kisasa.
babu baa ni laana za kishetani.. kama upo serious nicheki inbox tufanye mpango hilo eneo tubomoe hiyo baa na tujengo kanisa au msikiti watu wa Mungu waendelee kupata mi-baraka na neema tele za mbinguniWewe ndo hutaki usiwasemee wenzako! Si lazima kuchangia! Anzisha wako wa mahubiri!