Wakuu hivi mchakato wa kupata barcode kwa mjasiriamali mdogo ukoje...Kuna mdau alisema ni pale ofisi ya mkuu wa wilaya ya ilala ndio ofisi zilipo ni sawa.
Barcodes ni muhimu kwa mfanyabiashara kwa sababu husaidia katika kufuatilia bidhaa, kusimamia hisa, kupunguza makosa ya kibinadamu, na kuongeza ufanisi katika mchakato wa mauzo na usimamizi wa hesabu. Pia, husaidia kwa urahisi katika kufanya ufuatiliaji wa mauzo na kukusanya data kuhusu bidhaa.
Hilo jibu la hapo juu nimelitoa ChatGTP.
Jibu langu mimi mteja, huwa nascan barcode iliyopo kwenye bidhaa kujua ni Og au fekero.