Bao la Kete, unatumia kidole gani?

 
Sisi wabara acheni tuzubae tu, ngoja nikopy na kupaste kisha nimtumie mzee wangu yupo kijiwe cha kahawa pale mazense darajani anidadavulie kisha nije kutia timu nikiwa full.
 
huku ni kuchezea muda wa mwajiri
 
kama waandishi wangekuwa wanawasilisha nyuzi zao kama hivi mngenusuru watoto wa shule walio jaa humu jf. hongera mkuu kwa ukomavu wako maana uzi huu kuuelewa unahitaji mtu anayefiki zaidi ya anavyofikiri!
 

Mkuu Watu8 heshima kwako. Nakupa 80%, nyingine usimalizie mpaka watoto watakapolala.

Heshima mkuu!!
 
huku ni kuchezea muda wa mwajiri

Mkuu si wote wameajiriwa, wengine wamejiajiri.
Si wote watumia internet wako katika ajira, wengine ni wanafunzi, wazee wastaafu, waliopunguzwa/waliofukuzwa kazini pia wapo watafuta kazi.
 
Muuza kahawa, naomba upitishe kikombe kimoja kwa kila mtu na kashata mojamoja bili kwangu. Naona wacheza bao wanasinzia.
 
Hewala baba,

nimekuelewa kuwa haya ni mambo ya pwani!!!!!!

Swadakta maalimu...

Lugha ni yetu lazima tujue namna ya kutumia vyema tamathali za semi...
 
Mkuu Watu8 heshima kwako. Nakupa 80%, nyingine usimalizie mpaka watoto watakapolala.

Heshima mkuu!!

Heshima kwako mkuu pia kwa kuibua hili ingawaje kajukwaa ketu haka ukifunguka sana wakuu hawakawii kuhamisha jamvi hadi Jukwaa la Wakubwa huko...
 
Heshima kwako mkuu pia kwa kuibua hili ingawaje kajukwaa ketu haka ukifunguka sana wakuu hawakawii kuhamisha jamvi hadi Jukwaa la Wakubwa huko...

Bwan shem watu8 sasa toa jibu katika yote hayo dole gan latumika zaidi!???
 
Last edited by a moderator:
nyie ndio mnaotafutwa na mzee kifimbo cheza kwa kuharibu lugha.
 
nyie ndio mnaotafutwa na mzee kifimbo cheza kwa kuharibu lugha.

Kijana wapi tulipoharibu lugha?

Nyie watoto wa leo mmeharibu lugha hadi kwenye taarabu. Zamani taarabu inaimbwa kwa tafsida na tashdida kibao, watoto hawaelewi kitu, ila watu wazima wenye akili zilizofundwa tu. Leo mwaweka wazi kila kitu hata katoto ka chekechea kanaelewa kila kitu..si upuuzi huo.

Nanyi mwasimama na kujivunia mwaijua lugha?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…