BANN. ..KWENU WANA JF..

BANN. ..KWENU WANA JF..

jombi95

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
1,405
Reaction score
2,189
hivii utaratibu wa bann ukoje wakuu. ..??
tunapigana tuuu bilaa kupewa taarifa na kama kuna kosa kwanni tusiambiwe kwanzaa na hao ma mods.Tangu juziii nilikuwaa najalibu ku login JF naambiwa no posts kumbe ndo nilipigwa bann ivoo na kosaa langu silijui. hivi na wengine pia huwa amuambiwi kosa na muda wa hyo bann ..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa unatumia app sio rahisi kuona kosa, ila kama unatumia web utaona umepigwa ban kwa muda gani na kosa lako watakuonesha
 
mimi natumia app jose..ila wiki jana nimepatwa na hilo pia
ndio ila kwenye app hautaona direct zaidi ya kutoweza kupost ila ukifungua JF kwa web browser utaona kosa na tarehe ya kutoka kifungoni...(kama nimekosea nisahihishe)
 
Jaribu kukosea tena natumaini Ban ya sasahivi watakupa taarifa.
 
Back
Top Bottom