mdesi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,367
- 2,217
Habari za humu wanajukwaa..
Watanzania tunaaminiwa na nchi nyingine kuwa tunashindwa kudeliver customer care ktk afrika mashariki na hivyo imekuwa ni moja ya sababu zinazopelekea makampuni mengi kutofanya vizuri na zaidi kulalamikiwa na wateja.
Nimeona tufanye sharing ya mawazo lakini kwa Leo tujikite katika mabenki huenda wahusika wakajifunza. Ni benki ipi unaona walau inajitahidi kutoa customer care dhidi ya nyingine? Karibuni...