Bank ya kilimo wameita watu kwenye usaili?

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,438
32,248
Wakuu,

Naomba kuuliza kama bank ya kilimo washaita watu katika usaili ajira zilizotangazwa mwezi wa tatu naona hadi leo kimya.

Je kuna mwenye taarifa au ashaitwa nawasilisha?
 
Back
Top Bottom