Bank ya Damu Salama

Pajeromashine

Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
9
Reaction score
5
Habari wanaJf...naomba kuuliza hivi wale waliofanya usaili bank ya damu salama wameshaitwa kazini???kwa maana walisema wataita ndani ya week 2 ila hawakua specific na siku. Nawasilisha.
 
Habari wanaJf...naomba kuuliza hivi wale waliofanya usaili bank ya damu salama wameshaitwa kazini???kwa maana walisema wataita ndani ya week 2 ila hawakua specific na siku. Nawasilisha.

kwa nafasi ipi
 
Tangazo la kazi ulifanya siri. Majibu ya usaili unatushirikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…