Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,064
- 22,757
Kama umeshtushwa na Bank Statement ya Rugemalira nakushauri ukae mbali na ile ya PAP unaweza ukazimia kwani hiyo ni kiboko. Ndio maana imebidi Mahakama ipewe agizo kuhakikisha ESCROW haijadiliwi bungeni. Rugemalira kala na ndugu na washikaji, Singasinga kala na vigogo na hakuna idara ama chombo kilichopona. Kaazi kwenu wana JF!