Bank Statement ya Rugemalira ni kichuguu tu, mlima ni Bank Statement ya PAP...kazi ipo!

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,199
2,000
Kama umeshtushwa na Bank Statement ya Rugemalira nakushauri ukae mbali na ile ya PAP unaweza ukazimia kwani hiyo ni kiboko. Ndio maana imebidi Mahakama ipewe agizo kuhakikisha ESCROW haijadiliwi bungeni. Rugemalira kala na ndugu na washikaji, Singasinga kala na vigogo na hakuna idara ama chombo kilichopona. Kaazi kwenu wana JF!
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
22,537

Ndio maana kumekua na juhudi kubwa ya kuizuwia lakini wamekwama....

Nimestushwa na njululu aliyomegewa mzee Wa nyuki......

Kuna waziri alinunua kiwanja mbezi beach mwaka Jana kwa mil 500 kumbe PESA ilitoka kwa PAP
 
TRUVADA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,520
2,000
Kama umeshtushwa na Bank Statement ya Rugemalira nakushauri ukae mbali na ile ya PAP unaweza ukazimia kwani hiyo ni kiboko. Ndio maana imebidi Mahakama ipewe agizo kuhakikisha ESCROW haijadiliwi bungeni. Rugemalira kala na ndugu na washikaji, Singasinga kala na vigogo na hakuna idara ama chombo kilichopona. Kaazi kwenu wana JF!

Hamna shida wanagawana hela Ya wapumbavu .. WATANZANIA .. Hii inakera sana
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,199
2,000
Utadhani walikaa pamoja, wakapanga na wakakubaliana jinsi ya kugawana wanufaika, wewe Rugemalira kwa hivyo vijisenti shughulika na hawa dagaa kwani ndio saizi yako, hao mapapa niachie mimi! Naambiwa madam Spika aliwahi kuichungulia hiyo list astaghafirullh!...akabaki mdomo wazi huku akifanya jitihada za kutafuta namna ya kusepa mpaka hali iwe shwari. Bahati mbaya hakujua msaidizi wake, Ndugai, angepigwa chini na yeye kuwa summoned arudi ajaribu kuokoa jahazi; kumbe masikini maziwa yakawa tayari yamemwagika kitambo na hayazoeleki.
 
mpondamali

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
461
250
kama umeshtushwa na bank statement ya rugemalira nakushauri ukae mbali na ile ya pap unaweza ukazimia kwani hiyo ni kiboko. Ndio maana imebidi mahakama ipewe agizo kuhakikisha escrow haijadiliwi bungeni. Rugemalira kala na ndugu na washikaji, singasinga kala na vigogo na hakuna idara ama chombo kilichopona. Kaazi kwenu wana jf!

mkuu vp hizo bank statement unazo? Kama vp zirushe hapa wanajamvi tuzione jinsi jamaa walivyozipiga hizo noti
 
jigoku

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,413
2,000
Mag3 fanyeni mtupie basi tujue, au tumegeeni kwa lugha ya picha basi tutakuwa tunajiongeza, kama ukisema mkuu wa kaya tunakusoma vema
 
Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
14,178
2,000
Utadhani walikaa pamoja, wakapanga na wakakubaliana jinsi ya kugawana wanufaika, wewe Rugemalira kwa hivyo vijisenti shughulika na hawa dagaa kwani ndio saizi yako, hao mapapa niachie mimi! Naambiwa madam Spika aliwahi kuichungulia hiyo list astaghafirullh!...akabaki mdomo wazi huku akifanya jitihada za kutafuta namna ya kusepa mpaka hali iwe shwari. Bahati mbaya hakujua msaidizi wake, Ndugai, angepigwa chini na yeye kuwa summoned arudi ajaribu kuokoa jahazi; kumbe masikini maziwa yakawa tayari yamemwagika kitambo na hayazoeleki.
Toba! Kumbe kulikuwa na madaraja. Ruge ashulikie second class, mzee ashughulikie business class

Kila jitihada zinafanywa, yaani wanaomba kama inawezekana litokee tetemeko kubwa na kuvunja ukumbi wa bunge.

Kama ipo iwekwe tu tujue kodi zetu zimeekelezwa wapi katika 'maendeleo ya nji''
 
Talapo

Senior Member
Nov 22, 2014
120
195
Usingizi haupatikani hata kidogo, nasubiria hii kitu tunayo iita escrow. Hiyo list jamn toa japo figure tu bila nomino tutaelewa tu.
 
FJM

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
8,083
1,225
Toba! Kumbe kulikuwa na madaraja. Ruge ashulikie second class, mzee ashughulikie business class

Kila jitihada zinafanywa, yaani wanaomba kama inawezekana litokee tetemeko kubwa na kuvunja ukumbi wa bunge.

Kama ipo iwekwe tu tujue kodi zetu zimeekelezwa wapi katika 'maendeleo ya nji''

kwi kwi kwi.... maendeleo ya nji....Sipati picha Dodoma kukoje? Kuna watu watakesha wakiomba kikombe hiki kiwapite!

Lakini ndiyo hivyo tena, Mchambuzi anakuambia 'even a magician runs out of new tricks'...
 
Last edited by a moderator:

Nguruvi3

Platinum Member
Jun 21, 2010
14,178
2,000
kwi kwi kwi.... maendeleo ya nji....Sipati picha Dodoma kukoje? Kuna watu watakesha wakiomba kikombe hiki kiwapite!

Lakini ndiyo hivyo tena, Mchambuzi anakuambia 'even a magician runs out of new tricks'...
Kamera za bunge kama hazitakamata watu wakiwanga uchi nitaomba zibadilishwe.

Katika 'nji' hii wapo wenye nchi na wananchi. Mag3 kasema waligawana namna ya kushughulikia ticket. Ruge alikuwa na Air Tanzania, PAP akawa na emirate royal class.

Hapa ndipo ''TEDU'' inapoombwa mtu akalazwe nje ya nji
 
Last edited by a moderator:

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
22,537
2,000
Toba! Kumbe kulikuwa na madaraja. Ruge ashulikie second class, mzee ashughulikie business class

Kila jitihada zinafanywa, yaani wanaomba kama inawezekana litokee tetemeko kubwa na kuvunja ukumbi wa bunge.

Kama ipo iwekwe tu tujue kodi zetu zimeekelezwa wapi katika 'maendeleo ya nji''

Mkuu orodha ya waliokula hela za PAP ikiwekwa hadharani CCM itafutika kwenye daftari la msajili.
 
Big Baba

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
251
195
hapa ndipo mtakapoamini ii nji(nchi) inamilikiwa na watu hamsini tu wengine tunasindikiza tu...ila za mwizi ni 39
 
RockSpider

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
6,863
1,500
Mkuu Mag3 tafadhali kesho tuwekee hiyo list wakati wanaendelea kujadili ...
Kama umeshtushwa na Bank Statement ya Rugemalira nakushauri ukae mbali na ile ya PAP unaweza ukazimia kwani hiyo ni kiboko. Ndio maana imebidi Mahakama ipewe agizo kuhakikisha ESCROW haijadiliwi bungeni. Rugemalira kala na ndugu na washikaji, Singasinga kala na vigogo na hakuna idara ama chombo kilichopona. Kaazi kwenu wana JF!
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,199
2,000
mkuu vp hizo bank statement unazo? Kama vp zirushe hapa wanajamvi tuzione jinsi jamaa walivyozipiga hizo noti
patience, patience ndugu yangu mpondamali, kesho haipo mbali. Wameshaonywa, wakileta upuuzi kila kitu kitaanikwa na jini litakuwa limefunguliwa.
 
Last edited by a moderator:

Roho Mbaya

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
471
250
Usalama wa taifa imepona kweli.....Mkurugenzi wake ndo angekewa wa kwanza kujiuzuru kutokana na madudu yaliyotekea au nae anasubiri shinikizo kutoka kwa Mkulu
 
Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,768
1,195
Kama umeshtushwa na Bank Statement ya Rugemalira nakushauri ukae mbali na ile ya PAP unaweza ukazimia kwani hiyo ni kiboko. Ndio maana imebidi Mahakama ipewe agizo kuhakikisha ESCROW haijadiliwi bungeni. Rugemalira kala na ndugu na washikaji, Singasinga kala na vigogo na hakuna idara ama chombo kilichopona. Kaazi kwenu wana JF!
Hakuna cha kichuguu wala mlima wote ni wizi tu tunatakiwa tutumie sheria ya China kwenye hii issue watu wanyonge.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom