Bank of Baroda

Hivi unajua interview panelist wengi wapo hapa JF na kwa kuwa ushasema haufahamu kitu chochote kuhusu hio kazi and kwa vile umefanya kupigiwa deal hadi kuwa shortlisted naogopa kukwambia kupata kwako hii kazi ni sawa na Ngamia Kupenye Tundu la Sindano au Obama kufika kibarzani kwenu kunywa kahawa
jana nlitumiwa email interview tarehe 24/9/2013 mi nimeambiwa sa 11:30am. Check mail
 
Nilisoma bookeeping na si commerce, wacha nipige kitabu tu kadri ntakavyoweza.
 
najua mkuu mimi imani yangu nimeiweka kwa Mungu na si mwanadamu na Mungu akisema ndio hata binadamu apinge vipi haiwezi kuwa No.
 
Bongo hapa wengne tutaozea ktaa tu;Niliapply hapo kwa madaha ila THanks GOD sjapata email wala call;My day will come bado naendelea kukomaa mpaka waajiri watanichoka wao mi sichok hvo hvo hata maisha yang yote yaishie KUAPPLY TU.ALL THE BEST KWA MLIOITWA INTERVIEW KIHALALI NA MNAVIGEZO
 
I wish if i can give that chance to someone because so far am fighting my feelings weather to go for interview or not because its the last thing i want.
 
Mimi ilikuwa ni observation yangu tu, kwa kuwa umemwachia Mungu sina comments zaidi, ila nakutakia kila la heri
najua mkuu mimi imani yangu nimeiweka kwa Mungu na si mwanadamu na Mungu akisema ndio hata binadamu apinge vipi haiwezi kuwa No.
 
Hahaa yaani kweli wewe ulihitaji kuunganishiwa bila kujijua. Muulize aliekuunganishia kama haiwezekani ukafanyishwa interview bila kujijua?

You define hopelessness!!!
I wish if i can give that chance to someone because so far am fighting my feelings weather to go for interview or not because its the last thing i want.
 
Mkuu,huyo aliyekuunganishia hajakupa details za hiyo post na madesa ya kujikumbushia ukiingia kwenye intavyuu upige mia halafu wakuone genious?,kumbe ni desa generation.com
 
Dah hii ndio Tanzania bana kama hauna Godfather kazi utaziona tu basi wengine tuliomba hiyo nafasi na tuna experience zaidi ya mwaka kama credit officers kwenye bank kubwa tu ila ndio hivyo, quid pro quo imetawala.
 
This is very bad image kwa kampuni, na wewe pia

you dont deserve the position
 
mnasema kinafki tu nani hapendi kuunganishwa?? Nan atapenda kusota? Go on mwaya utaipata tu hyo nafasi huwez jua aliyekuunganisha akakuupdate tena au jaribu kumuuliza akupe some details. Ol da best
 
Hahaa yaani kweli wewe ulihitaji kuunganishiwa bila kujijua. Muulize aliekuunganishia kama haiwezekani ukafanyishwa interview bila kujijua?

You define hopelessness!!!

Anything is possible in this world so hakija jipya kwa hilo hasa Tanzania.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…