Bank gani naweza kufungua account na kupata Visa au Master Card siku hiyo hiyo

CRDB ndio suluhisho

Vigezo
Uwe na picha moja ya passport 2x2 background nyeupe

Kitambulisho cha Kura au pass ya kusafiria

Barua ya s/mitaa

Na kianzio 20,000 tu
Passportsize ni mbili mkuu..na iyo barua ya serekali za mitaa iwe na picha pia so jumla awe na passport size 3.asipokua na barua ya serekali za mitaa basi awe na barua ya utambulisho kutoka kwa muajili wake( kwa taasisi zinazofahamika tu)
 
Back
Top Bottom