Baniani mbaya kiatu chake dawa

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,809
Reaction score
9,751
Hatimaye Bakuli linatembezwa arabuni.
 

Attachments

  • baniani.jpg
    14.1 KB · Views: 1,001
Ama kweli nyani huwa hayaoni makalio yake yaani sisi tumimpendua mwaarabu baadaye tunakwenda kumuwomba msaada hii inasikitisha na kuhuzunisha tena ni nusu karine bado tu omba omba ama kweli akili ni nywele kila mtu ana zake
 
Nawe huachi yakhe? Tufanye nini iwapo mzungu anazuia msaada wake?

Kwann mzungu anazuia misaada??? Si kwa ufisadi...wizi na umbumbumbu wa viongoz kama huyo kwenye picha!!!
 
Na maadam wanataka kuendelea kufisadi ndio wanawageukia Waarabu wasio na masharti.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…