Tafsiri yake ni kwamba, kitu au mtu au watu unaowaona wabaya/kibaya huwa katika ubaya wake/wao wana kitu kizuri cha kukusaidia, yaani hata mtu au mbaya vipi au kitu kiwe kibaya vipi, lakini huwa kuna kitu kizuri cha kukusaidia kutokana na huyohuyo mtu, au haohao watu au hichohicho kitu.
Sent using
Jamii Forums mobile app