Bango hili Magogoni Ferry linaaibisha Polisi

Myebusi Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2022
Posts
671
Reaction score
1,553
Bango hili lipo kwenye Kituo cha Polisi Magogoni Ferry na limeandikwa na Polisi wenyewe.

Bango hili linawadhalilisheni na kuuweka bayana uwezo wenu mdogo wa kuandika.


MALUFUKUKUTUPATAKATA HAPA |-> KA. KITUO CHA POLISI.

Àfande Chiku hebu liondoeni bango hili haraka sana.
 
"Magigoni Ferry"

👆

Hao polisi wana afadhali kuliko wewe maana tunazifahamu elimu zao.

Wewe raia ulitakiwa uwe mfano wa kuigwa na hao polisi kwa kuandika vizuri kwa ufasaha.
 
Mkuu badala ya kupiga picha na kuifungulia thd JF, ungeingia hapo ofisini kwao na ukawaeleza face to face wangekushukuru sana na chai wangekupa ukanywa nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…