Bangladesh: Takribani watu 46 wafariki kwa maporomoko ya ardhi baada ya mvua kubwa

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,410
2,000
Mvua kubwa za monsoon zimesababisha maafa baada ya watu 46 kufariki kusini mashariki mwa Bangladesh wakiwa wamefukiwa na udongo.

Jeshi la Polisi limetahadharisha kuwa idadi ya vifo inatarajiwa kuongezeka kadri watoaji msaada wa dharura wanavyozidi kwenda maeneo ya ndani zaidi ambapo mawasiliano yamekatika.

========

Heavy monsoon rains have killed at least 46 people in southeast Bangladesh most of them buried under landslides, authorities said Tuesday.

Police warned that the death toll would likely rise as emergency workers reached remote parts of the affected area, where telephone and transport links had been cut.

"The recovery work is still going on. The death toll could rise as many areas still remained cut off," the head of the Department of Disaster Management Reaz Ahmed told AFP.

Ahmed said disaster response teams had been deployed to the affected areas to reinforce recovery work.

"We have not been able to reach many of the affected places. Once the rains are over, we'll get a full picture of the damage and get the recovery work in full swing," he said.

Many of the victims were from tribal communities in the remote hill district of Rangamati, close to the Indian border, where 24 people were killed when mudslides buried their homes.

"Some of them were sleeping in their houses on hillsides when the landslides occurred," district police chief Sayed Tariqul Hasan told AFP.

Six were killed in the nearby district of Bandarban, among them three children, siblings who were buried by a landslide as they slept in their home.

Another 16 of the casualties were in the neighbouring district of Chittagong, where at least 126 people were killed when a massive landslide buried a village a decade ago.

Source: Yahoo7 News
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,167
2,000
Haya mambo jamani haya. Yanasikitisha sana; pole zao waathirika wote. Kwa upande mwingine, kijiografia tafsiri yake ni nini? Hii maana yake ardhi inazidi kupungua; billions of tons za ardhi zinamwagika baharini kila mwaka. Itafika kipindi, ardhi itamezwa na maji/bahari na huo ndio utakuwa mwisho wa dunia. Tutakuwa tumerudi "square one" kama hivi:-

"9 Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo. 10 Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.", Mwa 1.
 

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,978
2,000
Hiyo ni laana ya wale watu kuuwa wasio na hatia, mungu naye anaendelea kujibu mapigo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom