Anafanya uchambuzi yakinifu wa pori la akibaHivi akikutwa na mwenye hilo duka atasema anafanya nini?
Hahahaaaa Tena ya TRENCH TOWN!Dah! Sijui huyu kavuta ya Jamaica kabisa!
Duh jamaa anatafuta kipochi manyoya
Duh!! Yani hapa nimejiuliza nicheke kwa staili ipi nimeshindwa kupata jibu nimebaki nakenua tu!!!!!Hivi huyo anatofauti gani na yule "aliezindua" pori?
Ubaya wake ni vituko za aina mbali mbali. ..
Ya Njombe hiyoDah! Sijui huyu kavuta ya Jamaica kabisa!
Atasema alikuwa anataka kunawaHivi akikutwa na mwenye hilo duka atasema anafanya nini?
Hivi huyo anatofauti gani na yule "aliezindua" pori?