Bangi noooma!

thadei kimambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
220
Reaction score
126
Wavuta bangi wa2 walikuwa wanavuta bangi chini ya mwembe.Walivyomaliza kuvuta wakataka kuondoka,mmja wao akaona embe lililoiva juu ya mwembe akamwambia mwenzake;-kuna embe limeiva juu ya mti,tulipige na mawe.basi wakakusanya mawe na kuanza kililenga,walitupa mawe kwa mda kama nusu saa hivi lakini hawakufanikiwa kulipiga.Basi mmja wao akasema;-mwanangu tunaweza tukawa tunaliangaikia embe alafu likawa halijaiva,ngoja nipande juu nikaakikishe kama limeiva.Basi akapanda na kulifikia kisha akalibonyeza, kisha akashuka na kumwambia mwenzake;-mwanangu limeiva tafuta mawe mengine tulishushe maana limeiva kweliii.
 
hicho ni zaidi ya kitu cha malawi, nafikiri jamaa pia walitupia komoni kidogo, mbege bila kusahau gongo na ndo maana network ilikuwa haisomi vizuri kichwani.
 
kibongobongo ukivuta kitu cha mboka(tabora) ni nooma yani cha Arusha hakioni ndani
 
kwa ishu hii naomba 2waite wavuta bange VICHAA wa day. coz hawako boarding(mirembe).
 

Mamaaaaa....kitu cha Arusha hiko....!!!
 
Nadhani hicho ni kitu cha arusha then kabwia na ugoro kidogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…