asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Watumiaji utawajua tu.
hivi kuna wanaume hawajawahi kutumia kabisa hii kitu enzi za ujana wao?
unadandia ndege!
Huu usemi unamaana sana kwa siasa zetu hapa nchi kwa sasa
unauhakika?Watumiaji utawajua tu.
hivi kuna wanaume hawajawahi kutumia kabisa hii kitu enzi za ujana wao?
hahahahahahahaha! inawezekana dogo alikuwa hamjui hata yesu ni nani...watoto walikuwa wanacheza, mara mwenzao akaanza kulia. Akapita Mtumishi wa Mungu akamuuliza, UNALIA NINI?
Mtoto: natafuta yeboyebo zangu, kuna mtu amezichukua,,!
Mtumishi wa Mungu: 'POLE, NYAMAZA MWACHIE YESU TU' Mtoto; YESU HAZIMTOSHI ZILIKUWA NDOGO SANA!!