Hii ni ya lile jukwaa letu...sio huku
Huyo atakua alikunywa chang'aaAsikwambie mtu, kuna kijana alilivuta mchana wa saa saba likamzingua akawa anaona giza, ikabidi awashe koroboi (kibatari) mchana kweupe akawa anatembea nayo akiwa ameinama kama babu kikongwe huku akisema;
''Oyaa masela washen taa tuonane au nyie hamuuoni usiku?"
BANGI NOMA.