Bangi mbaya sana!!

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
241
Reaction score
57
Kuna jamaa walikuwa wanavuta bangi, kiberiti kikaisha. Wakamtuma mwenzao mmoja nje akatafute kiberiti, yule jamaa aliyetumwa akatoka akazunguka na kurudi tena ndani kwa wenzake akawauliza 'jamaa mna kiberiti mniazime?'
Wenzake wakamjibu, 'kaa usubiri kuna mwenzetu tumemtuma
 
Reactions: RR
Hii kali. wengine walitaka kuhamisha nyumba ya jamaa wanapovutia bangi kwa kuisukuma wakidai mwenye nyumba anawazingua!
 
mwigine alikua akijificha hku akiweka kidole mbele akidhani haonwi.##NOMA KWELI
 

Duh! Hii kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…