Bangi inasemwa tu vibaya lakini is very good kwa kweli, mi mwenyewe kabla sijaingia kuwapiga lecture vijana huwa lazima nipulize japo twenty minutes earlier...
Mi mi mwenyewe nikitaka nipige mzigo vizur nikiwa kwenye 5/6, huwa napitia hii kitu kwanza huwa hakuna kulala, yaani bandika bandua!
Kidole007 kwa kweli umeitetea "thesis" yako kwa nguvu zote. Ikiwa mtu huwa tayari kuuza hata nyumba ili apate hiyo nicotine si haba kuitetea kiasi hicho.
Mimi pia naunga mkono harakati za kuihalalisha bhange, of koz na gomba na gongo. Maana jitihada za kinafki za kuzuia zimeishia kuwa chaka la polisi kuvuna hela na kunyanyasa raia wema. Pobe na sigara ni vitu halali lakini husababisha mamia ya watu kufa kila mwaka, sijui tulirithi vipi hizi sheria, na je tulifanya tafiti zetu kujua kipi haramu na kipi halali kabla ya kuharamisha na kuhalalisha?
Tupambane watu wapate haki zao jamani.

Mimi na wenzangu shuleni tulifaulu kwa kuvuta bangi unavuta kwa malengo na kuweka nia hata wasipohalalisha inavutwa tu kwa siye wastaarabu na bei yake kila mmoja anaimudu
Bangi inasemwa tu vibaya lakini is very good kwa kweli, mi mwenyewe kabla sijaingia kuwapiga lecture vijana huwa lazima nipulize japo twenty minutes earlier...
Weed is good.....Tangu nianze nikiwa University hadi sasa sioni madhara yake....mwenye kupinga kua ina madhara kiafya na kiakili aweke hapa Jf....otherwise watu wanafanya prejudice against weed.
Bangi kwangu ni sehemu ya ibada yangu,
Kitendo cha kuzuia bangi ni kuminya haki yangu ya kuabudu ambayo ni haki yangu kikatiba,
Dini yangu ya Rasta Fari inaniambia kuwa bangi ni sawa na sakramenti kwa wakristu!
Niliwahi kuandika hapa