Bangi ihalalishwe

Mimi nina ADHD ninavuta but it doesn't help just makes me hella sleepy especially when I'm in my depression cycle
 
Mimi nilapo herb moyo wangu hupoa baridii
 
roll it.....then puff it....and pass it.................America chataaa puff puff give hahahaha.ila ninavyo jua mvuta ganja anauwezo mkubwa sana kwa kufikiria outside the box akiwa kwenye stemuu za kaya.anaweza kuangalia maji akaaza kufikiria kwanini maji hayapandi juu yana shuka chini.kenyata alikua anapiga kaya.....nahisi pia naniliu alikua anapuliza.
 
mkitaka kujua vizuri kuhusu bangi muulize 20%
 
Me nikivuta bangi hua najisikia amani sana. Tatizo watu wengine bangi wamegeuza kilevi. Unamkuta mtu asubui mpaka jion yuko kwenye vijiwe vya bangi kwanini usiwe chizi?
 
Naomba tu niwe mkweli,wanaoanza kutumia madawa ya kulevya,wengi walianzia kwenye bangi,
 
umeskia wapi mtu kavuta bangi kapindua gari?
Au kafanya fujo hizo ni mentality tu mlizo zijengea mtu akitukana watu ovyo bila kuchunguza malezi yake mnakimbilia eti bangii
Boss u hali gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…