kidole007
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 3,094
- 1,876
Ni mtazamo
Uvutaji wa bangi si jambo geni vijana wengi wanavuta au wameshawahi kuvuta ukiachia mbali madhara ambayo watu wa afya wanasema yanaletwa na bangi (mengi si kweli) kama ulishawah kuvuta utakubaliana na mimi
Bangi haina addiction wala haijengi dependency, ukiikosa hupati alosto, bangi ina leta mood au inaongeza mood, huku kijijini kwetu wakulima wanapuliza bangi then wanaingia mzigoni, same way tulivokuwa tunatumia high school tunapata mood ya kupiga misuli
Haya madhara kama kupoteza kumbukumbu ni uongo mtupu na sijui hizo research walimfanyia nani?
Kwanza bangi inaongeza appetite mimi ningekuwa docta watu wanaosuffer na anorexia ninge kuwa na prescribe bangi halafu bangi navoelewa risk ya kupata sijui cancer yakoo au mapafu ni ndogo kuliko hizo tumbaku ambazo ni legal kabisa
Bangi ina fanya muscles zina relax, hakuna sijui ku athiri nguvu za kiume kama tumbaku
Kwa hiyo basi sioni sababu ya bangi kuwa illegal cha msingi serikali izuie madawa ya kulevya na bangi watu wavute hadharani kama sigara ili kutoweza kuwapa mwanya wale wanao changanya na heroin huko vichochoroni