isalyn Member Joined May 7, 2017 Posts 36 Reaction score 12 Apr 10, 2018 #1 Jamani samahani kwa usumbufu kwa ANAEJUA jinsi ya kupata mb nyingi kwa laini ya Airtel na halotel anijulishe
Jamani samahani kwa usumbufu kwa ANAEJUA jinsi ya kupata mb nyingi kwa laini ya Airtel na halotel anijulishe
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,863 Reaction score 9,734 Apr 10, 2018 #2 Jaza salio la kutosha jiunge, 50,000+
isalyn Member Joined May 7, 2017 Posts 36 Reaction score 12 Apr 17, 2018 Thread starter #3 Ndo nini hicho
mtu watu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,123 Reaction score 1,617 Apr 17, 2018 #4 Airtel weka 1000 (buku) vocha, pga menyu ya *149*81# nenda namba 4, 1Gb kwa siku 3 sms 1000, dk 110, dk10 mitandao yote, dk 100 airtel to airtel.
Airtel weka 1000 (buku) vocha, pga menyu ya *149*81# nenda namba 4, 1Gb kwa siku 3 sms 1000, dk 110, dk10 mitandao yote, dk 100 airtel to airtel.
Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,053 Reaction score 3,271 Apr 17, 2018 #5 Halotel piga *148*55# ujichagulie. Hiyo ni kwa laini za chuo,sijui kama ipo kwenye laini za kawaida
Lady Ra JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 886 Reaction score 1,011 Apr 17, 2018 #6 mtu watu said: Airtel weka 1000 (buku) vocha, pga menyu ya *149*81# nenda namba 4, 1Gb kwa siku 3 sms 1000, dk 110, dk10 mitandao yote, dk 100 airtel to airtel. Click to expand... Tatizo ni kua je unayopewa ki uhalisia ndio hiyo iliyoandikwa 1gb? Isije ikawa wanakuambia wanakupa 1gb kumbe ya kwenye maandishi tu
mtu watu said: Airtel weka 1000 (buku) vocha, pga menyu ya *149*81# nenda namba 4, 1Gb kwa siku 3 sms 1000, dk 110, dk10 mitandao yote, dk 100 airtel to airtel. Click to expand... Tatizo ni kua je unayopewa ki uhalisia ndio hiyo iliyoandikwa 1gb? Isije ikawa wanakuambia wanakupa 1gb kumbe ya kwenye maandishi tu
mtu watu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,123 Reaction score 1,617 Apr 17, 2018 #7 Lady Ra said: Tatizo ni kua je unayopewa ki uhalisia ndio hiyo iliyoandikwa 1gb? Isije ikawa wanakuambia wanakupa 1gb kumbe ya kwenye maandishi tu Click to expand... Airtel siyo kama mitandao mingne wapo makini. Kama menu yako inasapoti hyo kitu ya *149*81# namba 4 inakubari chagua namba 2 1Gb wateleza mpaka humalizi.
Lady Ra said: Tatizo ni kua je unayopewa ki uhalisia ndio hiyo iliyoandikwa 1gb? Isije ikawa wanakuambia wanakupa 1gb kumbe ya kwenye maandishi tu Click to expand... Airtel siyo kama mitandao mingne wapo makini. Kama menu yako inasapoti hyo kitu ya *149*81# namba 4 inakubari chagua namba 2 1Gb wateleza mpaka humalizi.
isalyn Member Joined May 7, 2017 Posts 36 Reaction score 12 May 16, 2018 Thread starter #8 mtu watu said: Airtel weka 1000 (buku) vocha, pga menyu ya *149*81# nenda namba 4, 1Gb kwa siku 3 sms 1000, dk 110, dk10 mitandao yote, dk 100 airtel to airtel. Click to expand... Asante imekubali
mtu watu said: Airtel weka 1000 (buku) vocha, pga menyu ya *149*81# nenda namba 4, 1Gb kwa siku 3 sms 1000, dk 110, dk10 mitandao yote, dk 100 airtel to airtel. Click to expand... Asante imekubali
isalyn Member Joined May 7, 2017 Posts 36 Reaction score 12 May 16, 2018 Thread starter #9 Lady Ra said: Tatizo ni kua je unayopewa ki uhalisia ndio hiyo iliyoandikwa 1gb? Isije ikawa wanakuambia wanakupa 1gb kumbe ya kwenye maandishi tu Click to expand... Inakubali hiyo hiyo 1gb
Lady Ra said: Tatizo ni kua je unayopewa ki uhalisia ndio hiyo iliyoandikwa 1gb? Isije ikawa wanakuambia wanakupa 1gb kumbe ya kwenye maandishi tu Click to expand... Inakubali hiyo hiyo 1gb