Bandarini na TRA uozo mtupu, kazi bado

Bandarini na TRA uozo mtupu, kazi bado

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Posts
1,288
Reaction score
131
Yaani ni uozo kabisa kwa mnaokaa na kufanya kazi huko mnaweza kutuambia kama kuna ufanisi wa aina yoyote lakini bado uozo
 
Ndugu yangu hizi taasis zimeoza, nliagiza kagar kangu fr Japan dah mpaka kuitoa wamekula ela yang kibao, malipo ya ajab ajab, km una mzigo wako jaribu ata kukopa uutoe mapema, maana umo ndan kna vijana wez watang'oa kila kitu
 
A piece of advice. Lawama kwa TRA kwa sasa hivi hazina msingi. Ushuru wa magari yote unaufahamu wewe importer KABLA hata ya kuagiza gari. Calculator hiyo iko kwenye Website ya TRA, besides agent ana lodge hizo documents zako well before the arrival of the car ofisini kwake na siyo TRA, hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kutoa gari lako immediately kama ukifanya homework yako mapema. However watu wengi wanaoingiza magari wanakuwa victims wa service providers wao ambao huwaambia bila kutoa cho chote gari yako halitoki. Kuna mifano hai ambapo watu wamezungushwa na providers wao wakati magari yalishakuwa released about two weeks ago.
 
Demu kweli; ila fikiria gari inaibiwa wakati bado iko mikononi mwao, fikiria jinsi meli zinavyochelewa bandarini; kweli we need ourselves to know what we are doing; lakini unaona process ziko transparent maana hata TRA unaweza ukanunua kagari kwa sh kazaa wakafika waka-uplift bei maana yake logged price is not final lazima makarateee yafanyike
 
A piece of advice. Lawama kwa TRA kwa sasa hivi hazina msingi. Ushuru wa magari yote unaufahamu wewe importer KABLA hata ya kuagiza gari. Calculator hiyo iko kwenye Website ya TRA, besides agent ana lodge hizo documents zako well before the arrival of the car ofisini kwake na siyo TRA, hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kutoa gari lako immediately kama ukifanya homework yako mapema. However watu wengi wanaoingiza magari wanakuwa victims wa service providers wao ambao huwaambia bila kutoa cho chote gari yako halitoki. Kuna mifano hai ambapo watu wamezungushwa na providers wao wakati magari yalishakuwa released about two weeks ago.
Kinachogomba kwa hawa TRA ni utendandaji usiozingatia maadili hasa ukizingatia kuwa ni mojawapo ya sekta ya umma inayolipa Mishahara na marupurupu vizuri.Mambo yao mengi mazuri yako kwenye vipeperushi tu lakini utekelezaji ni kinyume.Wanafanya kazi zao kwa double standard.
 
Hiyo calculator iliyopo kwenye website inakupa mwongozo tu actual tariffs wanazipiga baada ya kulodge documents zako. Na hii uliyosema inaongewa zaidi kuliko inavyofanyika. Tujifunze kutoka kwa wenzetu. Ukilodge documents (be it ni wewe mwenyewe au agent wako) sehemu moja na malipo utalipa sehemu moja tu mpaka unatoa mzigo wako. Bandari na TRA yetu hapa utaratibu uliowekwa unatoa mwanya kwa watumishi wasio waaminifu kuumiza watumiaji wa huduma zao.
 
umeleta uzi huu bado hasira zangu hazijamaliza,itakua serikali inaweka wezi wa makusudi au na wavuta unga mule ndani.

juzi nimetoa spacio yangu wamengoa vioo vya set mirror, nashangaa nimeuliza sipati jibu nilikusudia na nitaweka picha humu kama ushahidi
 
jamani kweli ni warasimu. me nishuhudia gari ikiwekwa wiki kisa ukaguzi wa mwisho baada ya malipo yote kuisha ukaonyesha mikanda ina mwaka mmoja nyuma. ikalipwa damping fee bado sijui wanataka malipo mengine ya offense jamani document nilizopewa ndo zilivyo onyesha mikanda naikaguaje kujua. Ni wala rushwa hakuna mfano na hizi sikuukuu wataua wanavyojengea mazingira ya chochote kitu.
 
TRA nayo inahitaji mtu kama Mwakyembe...akawakumbushe kuwa TRA sio yao bali ni taasisi ya umma yenye taratibu rasmi za kufanya kazi. Ilivyo leo ni sehemu ya watu kupiga madili tu.
 
--- TRA NDIO WANAONGOZA KWA RUSHWA...

-- Ni kichaa au mpuuzi tu atakayepinga hili...

-- TRA mfano: UKIAGIZA JAPAN GARI ....

JAAI ndio designated inspectors kwa magari yanayokuja Tz tu, meaning wamewekwa na SERIKALI:

So TRA wanajua hili sana, na bei ya gari likiwa Japan wanaweza/ wanapata REAL BEI YA GARI KUPITIA HAWA JAAI.....

Mchezo unaichezwa na TRA.... wanatable yao.... of which wanakadiria value ya gari..... Sasa wakiona kodi ya gari ipo chini ktk formula yao kuliko bei ya kodi regarding CIF....

say baada ya kuweka their formula wamepata CIF $ 4500
Ila ww umenunua kwa CIF $ 4900 wanaacha formula wanafuata CIF yako....

Ikiwa ww una CIF $ 4900 na formula yao inawapa CIF $ 5100, wanafuata CIF yao....

In GENERAL .... TRA WANALINK NA JAAI... WANANCHI WANGEKATWA KODI HALALI.....

So mazingira kama haya ya value of car being uplifted/ disputed yasingetokea, but TRA pretends ipo blind kuhusu magari.....kila mtu anataka rushwa there...!!

Wanipe mm kazi ya kuweka things proper in a month nimekomesha.... I swear...!!!
 
Mimi naona afadhali TRA, uozo mkubwa uko TPA na kitengo cha kupakua Meli. Imagine Meli inatumia Siku nane kutoka salala, alafu inachukua zaidi ya week moja kuingia Bandarini, container kupakuliwa na kupelekwa Bandari kavu inatumia zaidi ya week mbili. Mimi naona TPA wawe wanachargiwa kwa kuchelewesha macontainer km wanavyo charge storage
 
Kodi ya magari haisaidii uchumi bali inadumisha kwani Magari yangeweza kusaidia sana maendeleo ya nchi kama yangekuwa ya kutosha. Tanzania ina magari yasiyozidi milioni moja! ni aibu kwasababu kodi ni ya juu sana. Tungesadia kampuni za spare, mafuta, kodi ya barabara, ufanisi wa kazi, matairi, vioo, mafundi n.k lakini Watanzania hatuangalii mbali na ni wabishi sana.
 
Back
Top Bottom