Bandarini bado ni shida

PanAfricanists.

Senior Member
Jan 22, 2016
179
250
Wakuu za mchana.

Wakuu tatizo kubwa ambalo tunalikimbia ni ukweli kuwa bandari yetu imeshindwa kufanya kazi yake ipasavyo na kuwa kivutio kwa nchi zinazotuzunguka licha ya nchi kama Congo na Zambia viongozi wake kuja nchini lakini bado haitoshi. Ni vema serikali iliangalie hili tatizo kwa ukaribu zaidi.
 
MgonjwaUkimwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
1,309
2,000

Kwahiyo tatizo ni nini?
 
PanAfricanists.

Senior Member
Jan 22, 2016
179
250
kiongozi hili swala ni la muhimu sana. hari ya uchumi ni mbaya na pia makusanyo ya mapato yameshuka sana na sehemu iliyovurugwa bila kuwa na mikakati mizuri ni bandari.
 
MgonjwaUkimwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
1,309
2,000
Kwahiyo kinakosekana nini hapo bandarini au kimeharibika nini hapo? Tunashindwa kujadiri paispo wewe kutupa tatizo lililopo hapo bandarini ili lijadiriwe.
 
PanAfricanists.

Senior Member
Jan 22, 2016
179
250
ukweli ni kwamba kodi ziko juu ukilinganisha na nchi zingine, hii hali haivutii wafanyabiashara katika nchi za jirani kupitisha mizigo yao .
 
Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,556
2,000
Wakuu za mchana.

Wakuu tatizo kubwa ambalo tunalikimbia ni ukweli kuwa bandari yetu imeshindwa kufanya kazi yake ipasavyo na kuwa kivutio kwa nchi zinazotuzunguka licha ya nchi kama Congo na Zambia viongozi wake kuja nchini lakini bado haitoshi. Ni vema serikali iliangalie hili tatizo kwa ukaribu zaidi.
ulishaambiwa hata meli zisipokuja, au hata ikija moja bora alimradi tu iwe inalipa kodi. ajabu yake sana, malori mengi yamepaki hayana kazi, madereva wa malori wamekuwa vibaka, wamekimbia familia zao wanashindwa kuzilisha. makampuni mengi ya usafirishaji hapa tz yanafilisika. maisha yamekuwa magumu zaidi, banadari ya mombasa inazidi kunawiri, na kuanzia katikati ya mwaka huu, standard gauge ya kenya inaanza kufanya kazi kwa treni za umeme. dakika tu toka mombasa hadi kampala. hivyo Rwanda, burundi, uganda, na DRC ndio watahama kabisaaa moja kwa moja. hadi sisi tuje tumalize hiyo reli yetu miaka miangapi sijui ijayo, ndio itabidi tuanze kubembeleza watu wa nchi hizo warudi wawe wateja wetu, na wakati huo huo kenya wameshawashika masikio na kuwapa incentives zitakazofanya wasirudi kabisa waendelee kuwa wateja wao. tz tunaishi kama vile hatuelewi kuwa kenya wanatuangalia kwa jicho la umakini sana kwenye ushindani wa bandari. ati tunataka kunyoosha wananchi, halafu upate faida gani mwishowe? hahahaha.
 
Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,556
2,000
ukweli ni kwamba Tanzania hatujui tunachoitaji kwa sasa ni nini.
ungesema hatujui tunachokifanya wala tunakoelekea. tunaenda tu gizani tunaifanyia mazoezi hii nchi. unajua maana ya mtu kuwa internship? ndicho tunachokifanya.
 
option

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
1,786
2,000
Wakuu za mchana.

Wakuu tatizo kubwa ambalo tunalikimbia ni ukweli kuwa bandari yetu imeshindwa kufanya kazi yake ipasavyo na kuwa kivutio kwa nchi zinazotuzunguka licha ya nchi kama Congo na Zambia viongozi wake kuja nchini lakini bado haitoshi. Ni vema serikali iliangalie hili tatizo kwa ukaribu zaidi.
eleza kinagaubaga tuelewe mkuu maana iko rasha rasha sana.
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,107
2,000
Wakuu za mchana.

Wakuu tatizo kubwa ambalo tunalikimbia ni ukweli kuwa bandari yetu imeshindwa kufanya kazi yake ipasavyo na kuwa kivutio kwa nchi zinazotuzunguka licha ya nchi kama Congo na Zambia viongozi wake kuja nchini lakini bado haitoshi. Ni vema serikali iliangalie hili tatizo kwa ukaribu zaidi.
Fafanua basi
 
dustless

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
799
1,000
ukweli ni kwamba kodi ziko juu ukilinganisha na nchi zingine, hii hali haivutii wafanyabiashara katika nchi za jirani kupitisha mizigo yao .
Ni bora tuwe tunaripoti kitafiti, mfano jirani zetu wanafanya kiasi gani kwa mzigo wa aina ipi ukilinganisha na bei za kwetu. Hii itatusaidia kujadili nawengine tusiokuwa na data.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom