Bandari ya Dar es Salaam yavunja rekodi kwa kahudumia meli 98, wadau wampongeza Rais Samia

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,434
Reaction score
10,965
Hongera na kazi wakuu,

Bandari ya Dsm imeendelea kufanya vizuri katika kuhudumia mizigo.

Mwezi desemba ilivunja rekodi yake kwa kuhudumia meli 98 kutoka meli 89 za Mwezi Novemba.

Huu Ni ufanisi ambao haijawahi tokea.Wadau wa Bandari wameioongeza TPA na Serikali ya awamu ya 6 kwa Kutoa Pesa za kununulia mitambo ya upakuaji na upakuaji iliyoongeza ufanisi wa Bandari.

Ikumbukwe pia Mwaka Jana , Bandari ya Dar iliweka rekodi ya kufikisha mapato Tilioni 1 kwa mwaka tofauti na hapo awali.

Hongera Sana kwa Serikali Ila endeleeni kukaza ili tuweze kufikia mizigo Tani mil.25 mwaka 2025 kutoka Tani mil.19 za Sasa na Bandari iweze Kuchangia zaidi Uchumi wa Nchi.

Mwisho mnyonge hanyongwi na haki yake anapewa huku anaona.Kudos Rais Samia.👇

20230109_091626.jpg
20230109_091736.jpg
 
Ndio kazi yaliyobakiza sasa hivi!

Yanatembelea nyota ya Magufuli halafu yanajisifu kwa Samia na genge lake!
Miaka 6 ya Magufuli kwa Nini asitembelee hiyo nyota yake? 😂😂
Soma hapa 👇
 
PAMOJA NA MAFANIKIO MAKUBWA YALIYOFIKIWA MPAKA SASA LIMEANZA KUJITOKEZA TENA TATIZ LA MELI KUCHELEWA KUPAKI (BIRTH) ZINA KAA SANA KULE OUTER ANCOURAGE TATIZO AMBALO KUNA KIPINDI WAZIRI MKUU ALILITAFUTIA UFUMBUZI LIKAISHA MELI ZIKAWA HAZIKAI TENA KULE SASA TATIZO LINARUDI TENA KA KASI AMBALO LITASABABISHA TENA MELI ZIANZE KUOGOPA KUJA DAR PORT MAMLAKA WALIONE HILI TUSIRUDI NYUMA
 
Hongera na kazi wakuu,

Bandari ya Dsm imeendelea kufanya vizuri katika kuhudumia mizigo.

Mwezi desemba ilivunja rekodi yake kwa kuhudumia meli 98 kutoka meli 89 za Mwezi Novemba.

Huu Ni ufanisi ambao haijawahi tokea.Wadau wa Bandari wameioongeza TPA na Serikali ya awamu ya 6 kwa Kutoa Pesa za kununulia mitambo ya upakuaji na upakuaji iliyoongeza ufanisi wa Bandari.

Ikumbukwe pia Mwaka Jana , Bandari ya Dar iliweka rekodi ya kufikisha mapato Tilioni 1 kwa mwaka tofauti na hapo awali.

Hongera Sana kwa Serikali Ila endeleeni kukaza ili tuweze kufikia mizigo Tani mil.25 mwaka 2025 kutoka Tani mil.19 za Sasa na Bandari iweze Kuchangia zaidi Uchumi wa Nchi.

Mwisho mnyonge hanyongwi na haki yake anapewa huku anaona.Kudos Rais Samia.

View attachment 2474630View attachment 2474631
Niambie Mlamba asali
 
Hongera na kazi wakuu,

Bandari ya Dsm imeendelea kufanya vizuri katika kuhudumia mizigo.

Mwezi desemba ilivunja rekodi yake kwa kuhudumia meli 98 kutoka meli 89 za Mwezi Novemba.

Huu Ni ufanisi ambao haijawahi tokea.Wadau wa Bandari wameioongeza TPA na Serikali ya awamu ya 6 kwa Kutoa Pesa za kununulia mitambo ya upakuaji na upakuaji iliyoongeza ufanisi wa Bandari.

Ikumbukwe pia Mwaka Jana , Bandari ya Dar iliweka rekodi ya kufikisha mapato Tilioni 1 kwa mwaka tofauti na hapo awali.

Hongera Sana kwa Serikali Ila endeleeni kukaza ili tuweze kufikia mizigo Tani mil.25 mwaka 2025 kutoka Tani mil.19 za Sasa na Bandari iweze Kuchangia zaidi Uchumi wa Nchi.

Mwisho mnyonge hanyongwi na haki yake anapewa huku anaona.Kudos Rais Samia.👇

View attachment 2474630View attachment 2474631
Imevunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na bangari gani?
 
WIVU WA KIJINGA HUO
Nyie ndio mnaosifia ujinga. Ili ujipime ubora wako ni lazima ujilinganishe na washindani wako. Kwasababu hao ndio mnao gombania nao wateja. Mshindani wetu ni Bandari ya Mombasa. Tukiweza kuvunja rekodi zao za kutoa huduma ndio tuje hapa kujisifu, umesikia CHAWA?
 
Bado ndogo hiyo, wasibweteke
Waongeze kasi zaidi

Ova
 
Watanzania hawajaridhika na mkataba wa Bandari yake Salama. Serikali isione aibu kuachana na Waarabu.

Tunaposema Bandari Imegawiwa, maana yake Imegawiwa, tena bure. Wadau wanaodai kuwa kuna rushwa zinanuka kwa kugawiwa Bandari zetu kwa wajomba, maana yake Rushwa inanuka.

Hivi vijisababu na hoja mbovu mbovu walizozitoa na wanazoendelea kuzitoa baada ya kushurutishwa kuhusu mkataba huu, havina maana yeyote ile. Ni uwongo kutaka kuhalilisha Udhalimu na Ufisadi unaotumika kumleta Mwarabu kuja kututawala.

Pinga udhalimu, maangamizo, Ukoloni mamboleo na ufisadi unaofanywa dhidi ya Watanzania,Watanganyika na Wamasai wa Taifa hili kwa nguvu zako zote. Wakemee Vibaraka wote wa Waarabu.
 
Hongera na kazi wakuu,

Bandari ya Dsm imeendelea kufanya vizuri katika kuhudumia mizigo.

Mwezi desemba ilivunja rekodi yake kwa kuhudumia meli 98 kutoka meli 89 za Mwezi Novemba.

Huu Ni ufanisi ambao haijawahi tokea.Wadau wa Bandari wameioongeza TPA na Serikali ya awamu ya 6 kwa Kutoa Pesa za kununulia mitambo ya upakuaji na upakuaji iliyoongeza ufanisi wa Bandari.

Ikumbukwe pia Mwaka Jana , Bandari ya Dar iliweka rekodi ya kufikisha mapato Tilioni 1 kwa mwaka tofauti na hapo awali.

Hongera Sana kwa Serikali Ila endeleeni kukaza ili tuweze kufikia mizigo Tani mil.25 mwaka 2025 kutoka Tani mil.19 za Sasa na Bandari iweze Kuchangia zaidi Uchumi wa Nchi.

Mwisho mnyonge hanyongwi na haki yake anapewa huku anaona.Kudos Rais Samia.👇

View attachment 2474630View attachment 2474631

Kama mnaweza kazi kwanini wasaini mkataba mbovu wa bandari! rekebisheni mkataba acheni siasa. Mara bandari haifanyi vizuri sasa eti bandari inafanya vizuri!!!! lipi ni sahihi
 
Back
Top Bottom