chawa wa mama
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 292
- 1,086
Naunga mkono hoja.Nimemskiliza Fr. Charles Kitima , Nimemsikiliza Dr Wilbroad Slaa , Nimemsikiliza Adv. Boniface Mwambukusi , Nimemsikiliza Mange Kimambi , Nimemsikiliza Rostam Aziz , Nimemsikiliza Tundu Lissu , Nimemsikiliza Freeman Mbowe .
Nimelisikiza Bunge , Nimemsikiliza RC Albert Chalamila , Nimemsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan , Nimeskiliza Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali na Nimemsikiliza Salim Asas ; to mention the few .
Baada ya kuwasikiliza Nimetafiti , Nimelinganisha , Nimetofautisha kauli zao , fikra zao , hoja zao na matendo yao nikapata majawabu haya :-
1. Mkataba wa Bandari haujitetei wenyewe , ni mkataba wa kifisadi unaohitaji nyongeza ya maneno ili uwe halali na ukubalike kwa Watanzania . Watanzia wameukataa.
2. Nchi kwa sasa haina uongozi madhubuti ; Nchi inajiongoza yenyewe .
3. Kuna kikundi cha wahuni wachache wanapora rasilimali za nchi na wanaziweka kwenye mikono ya wageni kwa jina la uwekezaji .
4. Katiba ya nchi na sheria za nchi zimeanajisika. Utawala bora na utawala wa sheria umetoweshwa kwa ulafi wa maslahi ya watu binafsi .
5. Taifa linahitaji hatua za haraka na dharura kuikwamua nchi na machafuko yanayoweza kutokea mda wowote kuanzia sasa. Umaskini umekithiri achilia mbali pengo kubwa la walionacho na wasio nacho linavyoongezeka kwa kasi.
6. Wakati umefika raia wote wa Tanzania kuamka kudai haki ya nchi yao . Kurejeshe mamlaka , madaraka na nguvu mkononi mwao kutoka kwa viongozi walioko madarakani.
7. Naunga Mkono Mawakili wazalendo Adv . Emmanuel Chengula, Adv. Boniface Mwambukusi ,Adv. Livino Ngalimtumba & Adv. Alfonce Lusako wanaokusudia kufungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Daer es Salaam " Under Extreme Certificate of Urgency " Ili Mahakam ikatupe tafsiri ya huu mkataba unaweka rehani usalama wa nchi . Bunge la JMT limewasaliti wananchi badala ya kuisimamia serikali iingie mikataba mizuri Bunge limegeuka kuwa "Genge la serikali" la kupingana na wananchi .
Tulia ni muhuri wa serikaliHivi Tulia spika wa Bunge haoni aibu kwa yanayoendelea? Ilitakiwa pale serikali iagizwe kurekebisha baadhi ya mambo ndipo waendelee kupitisha azimio, pale hata kama sio mwanasheria lakini bado utaona mapungufu ya wazi kabisa yaliopo
Nimemskiliza Fr. Charles Kitima , Nimemsikiliza Dr Wilbroad Slaa , Nimemsikiliza Adv. Boniface Mwambukusi , Nimemsikiliza Mange Kimambi , Nimemsikiliza Rostam Aziz , Nimemsikiliza Tundu Lissu , Nimemsikiliza Freeman Mbowe .
Nimelisikiza Bunge , Nimemsikiliza RC Albert Chalamila , Nimemsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan , Nimeskiliza Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali na Nimemsikiliza Salim Asas ; to mention the few .
Baada ya kuwasikiliza Nimetafiti , Nimelinganisha , Nimetofautisha kauli zao , fikra zao , hoja zao na matendo yao nikapata majawabu haya :-
1. Mkataba wa Bandari haujitetei wenyewe , ni mkataba wa kifisadi unaohitaji nyongeza ya maneno ili uwe halali na ukubalike kwa Watanzania . Watanzia wameukataa.
2. Nchi kwa sasa haina uongozi madhubuti ; Nchi inajiongoza yenyewe .
3. Kuna kikundi cha wahuni wachache wanapora rasilimali za nchi na wanaziweka kwenye mikono ya wageni kwa jina la uwekezaji .
4. Katiba ya nchi na sheria za nchi zimeanajisika. Utawala bora na utawala wa sheria umetoweshwa kwa ulafi wa maslahi ya watu binafsi .
5. Taifa linahitaji hatua za haraka na dharura kuikwamua nchi na machafuko yanayoweza kutokea mda wowote kuanzia sasa. Umaskini umekithiri achilia mbali pengo kubwa la walionacho na wasio nacho linavyoongezeka kwa kasi.
6. Wakati umefika raia wote wa Tanzania kuamka kudai haki ya nchi yao . Kurejeshe mamlaka , madaraka na nguvu mkononi mwao kutoka kwa viongozi walioko madarakani.
7. Naunga Mkono Mawakili wazalendo Adv . Emmanuel Chengula, Adv. Boniface Mwambukusi ,Adv. Livino Ngalimtumba & Adv. Alfonce Lusako wanaokusudia kufungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Daer es Salaam " Under Extreme Certificate of Urgency " Ili Mahakam ikatupe tafsiri ya huu mkataba unaweka rehani usalama wa nchi . Bunge la JMT limewasaliti wananchi badala ya kuisimamia serikali iingie mikataba mizuri Bunge limegeuka kuwa "Genge la serikali" la kupingana na wananchi .
Uongozi wa awamu hii na ule wa awamu ya 4 ni mapachaNchi kwa sasa haina uongozi madhubuti ; Nchi inajiongoza yenyewe .
JIbu ni hili kwingine kote sihangaiki kusomaNimemskiliza Fr. Charles Kitima , Nimemsikiliza Dr Wilbroad Slaa , Nimemsikiliza Adv. Boniface Mwambukusi , Nimemsikiliza Mange Kimambi , Nimemsikiliza Rostam Aziz , Nimemsikiliza Tundu Lissu , Nimemsikiliza Freeman Mbowe .
Nimelisikiza Bunge , Nimemsikiliza RC Albert Chalamila , Nimemsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan , Nimeskiliza Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali na Nimemsikiliza Salim Asas ; to mention the few .
Baada ya kuwasikiliza Nimetafiti , Nimelinganisha , Nimetofautisha kauli zao , fikra zao , hoja zao na matendo yao nikapata majawabu haya :-
1. Mkataba wa Bandari haujitetei wenyewe , ni mkataba wa kifisadi unaohitaji nyongeza ya maneno ili uwe halali na ukubalike kwa Watanzania . Watanzia wameukataa.
2. Nchi kwa sasa haina uongozi madhubuti ; Nchi inajiongoza yenyewe .
3. Kuna kikundi cha wahuni wachache wanapora rasilimali za nchi na wanaziweka kwenye mikono ya wageni kwa jina la uwekezaji .
4. Katiba ya nchi na sheria za nchi zimeanajisika. Utawala bora na utawala wa sheria umetoweshwa kwa ulafi wa maslahi ya watu binafsi .
5. Taifa linahitaji hatua za haraka na dharura kuikwamua nchi na machafuko yanayoweza kutokea mda wowote kuanzia sasa. Umaskini umekithiri achilia mbali pengo kubwa la walionacho na wasio nacho linavyoongezeka kwa kasi.
6. Wakati umefika raia wote wa Tanzania kuamka kudai haki ya nchi yao . Kurejeshe mamlaka , madaraka na nguvu mkononi mwao kutoka kwa viongozi walioko madarakani.
7. Naunga Mkono Mawakili wazalendo Adv . Emmanuel Chengula, Adv. Boniface Mwambukusi ,Adv. Livino Ngalimtumba & Adv. Alfonce Lusako wanaokusudia kufungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Daer es Salaam " Under Extreme Certificate of Urgency " Ili Mahakam ikatupe tafsiri ya huu mkataba unaweka rehani usalama wa nchi . Bunge la JMT limewasaliti wananchi badala ya kuisimamia serikali iingie mikataba mizuri Bunge limegeuka kuwa "Genge la serikali" la kupingana na wananchi .
Yeye aliagizwa kwenda kupitisha na siyo kufanya marekebisho yoyoteHivi Tulia spika wa Bunge haoni aibu kwa yanayoendelea? Ilitakiwa pale serikali iagizwe kurekebisha baadhi ya mambo ndipo waendelee kupitisha azimio, pale hata kama sio mwanasheria lakini bado utaona mapungufu ya wazi kabisa yaliopo
Safi kabisaNchi ilitakiwa iwe na uongozi wa mpito baada ya msiba kisha ufanyike uchaguzi mkuu
Hata PM yupo upande wetuNiliposoma jina la mleta thread nikaona chawa wa mama nikajisemea huu uzi wa nderemo na vifijo( praise and worship) Kumbe upo upande wa wazalendo wapigania nchi.
Ila hapo kipengere namba 6 andika raia wa Tanganyika badala ya watanzania.
Asante studio.
Kwanza lazima uwe shetani kabisa kutetea huu ujingaUle mkataba ukiisoma wote na ukawasikiliza wanaoutetea, ni lazima uwe mwendawazimu asiye na aibu, kuweza kuukubali.
Ingekuwa ni nchi za watu makini na wasioruhusu mambo ya hovyo hovyo, sahizi kundi kubwa la wale wabunge bandia pamoja na spika wao wangekuwa wamejiuzulu kwa kulazimishwa, kuna watu ama wangekuwa kizimbani au wangekuwa chini ya vyombo vya uchunguzi, Serikali nzima ingekuwa ipo uelekeo wa kuondolewa.
Baada ya kuusaini mkataba wa hovyo namna ile, hakuna mtu angekuwa na imani na Serikali ya namna hiyo.
Lakini, wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha. Wananchi waliofanywa hawana akili, mambo ya hovyo kama haya, taratibu, yatawaamsha.
Umehitimisha vizuri. Kongole!Nimemskiliza Fr. Charles Kitima , Nimemsikiliza Dr Wilbroad Slaa , Nimemsikiliza Adv. Boniface Mwambukusi , Nimemsikiliza Mange Kimambi , Nimemsikiliza Rostam Aziz , Nimemsikiliza Tundu Lissu , Nimemsikiliza Freeman Mbowe .
Nimelisikiza Bunge , Nimemsikiliza RC Albert Chalamila , Nimemsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan , Nimeskiliza Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali na Nimemsikiliza Salim Asas ; to mention the few .
Baada ya kuwasikiliza Nimetafiti , Nimelinganisha , Nimetofautisha kauli zao , fikra zao , hoja zao na matendo yao nikapata majawabu haya :-
1. Mkataba wa Bandari haujitetei wenyewe , ni mkataba wa kifisadi unaohitaji nyongeza ya maneno ili uwe halali na ukubalike kwa Watanzania . Watanzia wameukataa.
2. Nchi kwa sasa haina uongozi madhubuti ; Nchi inajiongoza yenyewe .
3. Kuna kikundi cha wahuni wachache wanapora rasilimali za nchi na wanaziweka kwenye mikono ya wageni kwa jina la uwekezaji .
4. Katiba ya nchi na sheria za nchi zimeanajisika. Utawala bora na utawala wa sheria umetoweshwa kwa ulafi wa maslahi ya watu binafsi .
5. Taifa linahitaji hatua za haraka na dharura kuikwamua nchi na machafuko yanayoweza kutokea mda wowote kuanzia sasa. Umaskini umekithiri achilia mbali pengo kubwa la walionacho na wasio nacho linavyoongezeka kwa kasi.
6. Wakati umefika raia wote wa Tanzania kuamka kudai haki ya nchi yao . Kurejeshe mamlaka , madaraka na nguvu mkononi mwao kutoka kwa viongozi walioko madarakani.
7. Naunga Mkono Mawakili wazalendo Adv . Emmanuel Chengula, Adv. Boniface Mwambukusi ,Adv. Livino Ngalimtumba & Adv. Alfonce Lusako wanaokusudia kufungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Daer es Salaam " Under Extreme Certificate of Urgency " Ili Mahakam ikatupe tafsiri ya huu mkataba unaweka rehani usalama wa nchi . Bunge la JMT limewasaliti wananchi badala ya kuisimamia serikali iingie mikataba mizuri Bunge limegeuka kuwa "Genge la serikali" la kupingana na wananchi .
Ila yule Ni shati tu golini,Kuna walioshika mfumo wanaoendesha nchi mkuu.Hata PM yupo upande wetu
Hivi Tulia spika wa Bunge haoni aibu kwa yanayoendelea? Ilitakiwa pale serikali iagizwe kurekebisha baadhi ya mambo ndipo waendelee kupitisha azimio, pale hata kama sio mwanasheria lakini bado utaona mapungufu ya wazi kabisa yaliopo