Ban yangu mbona haishi jamani....!!!

hakuna ndugu,kesi yangu ni ndogo kweli kweli.Kama kesi, basi hii yangu yakumchungulia mtu chooni na shahidi kipofu.
Eti kisa kuanzisha sredi ya chama pendwa.

Pole sana. Maisha ndivyo yalivyo. Chama pendwa ndo kipi eti?
 
Teh jamaa amekuwa kama anatapatapa tu....
Ila bann noma ingawa sijawahi dungwa ila naiogopa sana
Na usiombe ban..mi honestly sina ham naJF linaudhi sana ban..hata speed yng imepungua..natumai u-mzima kijana..kama nakuona na ndovu hizi!!
 
hahahaaaa. mia
Hahahahahahaha mzee wa mia,nilikua najiuliza ulipotelea wapi mkuu wangu kumbe mambo ya Ban hahahahahaha ndio hvyo alternative zipo kibaosana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…