Mzee wa SUP
Member
- Mar 19, 2012
- 63
- 18
Wewe unaandika barua kama email, kweli wewe dotcom wenzio barua lazima uanze na kwenu wandugu wapendwa alafu para nyingine uje na dhumuni, para nyingine utupe hali yako wewe uliye mbali na upeo wa kope zetu, huna maana endelea kula maban kuruta wewe
hahahaaaa. mia
ndo unajiita dubu??? mwita alianza mwita25, atimw52 akaishia na kujiita MBWA!!! ha ha FIGAAAAAANIGAAA..mia!
Kwani we nani? Ebu taja waliku'ban ID gani tukupe msaada.
Hahahaa ni kweli aisee anakuwa kama anaiba vile...ha ha ha, akajiita mlinzi??
Dubu pole, unajifeel kama ghost
unawaona watu afu hawakuoni.
Teh jamaa amekuwa kama anatapatapa tu....ndo unajiita dubu??? mwita alianza mwita25, atimw52 akaishia na kujiita MBWA!!! ha ha FIGAAAAAANIGAAA..mia!
hii ni sawa na kumuuliza teja mbele ya polizi 'unavuta kokeni au heroni?'
ndo unajiita dubu??? mwita alianza mwita25, atimw52 akaishia na kujiita MBWA!!! ha ha FIGAAAAAANIGAAA..mia!
mmmh, yaani tena ukilalamika ndo anaongeza pitosin kwenye syringe badala ya fenegan.
Mie niliiba kuku tu, sasa wewe labda una kesi ya mauaji au uhaini.
Wewe unaandika barua kama email, kweli wewe dotcom wenzio barua lazima uanze na kwenu wandugu wapendwa alafu para nyingine uje na dhumuni, para nyingine utupe hali yako wewe uliye mbali na upeo wa kope zetu, huna maana endelea kula maban kuruta wewe
Dooh Figaniga!!! mi nilikua na ID 5 NIMETWANGWA BAN MBK SEPTEMBER ETI kwanini nazihusisha ID ya sasa na zile za ban..yani kuna vituko humu..miss u Figga! ndo mana simuoni MWITA25 uskute kapigwa ban la forever,...
Kwani we nani? Ebu taja waliku'ban ID gani tukupe msaada.
hii ni sawa na kumuuliza teja mbele ya polizi 'unavuta kokeni au heroni?'