Ban ya JF imesababisha nipate A+

Status
Not open for further replies.
Sawa ila jaribu kutumia ubongo wako vyema kutafakari mambo mana unaonekana kama mtoto wa miaka 10 hivi,hicho chuo unachokidharau unajua kimekua cha ngapi?au umelishwa tu upuuzi?
sasa si uchakachuaji

We vuta picha chuo kama Open eti nacho kipo kumi bora katika vyuo bora

Wakati huo huo chuo kama Bugando au KCMC havipo



Sasa kama si maajabu hayo ni nini?
 
Sawa ila jaribu kutumia ubongo wako vyema kutafakari mambo mana unaonekana kama mtoto wa miaka 10 hivi,hicho chuo unachokidharau unajua kimekua cha ngapi?au umelishwa tu upuuzi?
dah huyu jamaa bhana ni shida akiandika pumba yaan simuelew sijui age ya ngap??anachotaka yeye comment nd like
 
chuo gani hicho?
au umesema A ya coursework?
 
NASHAURI WANAFUNZI WOTE MLIOFUNGA SHULE JITAHIDINI KUZINGATIA TUTION IZ JF MTAZIKUTA TU
 
A ya ngapi
kuna vyuo A zao zinaanzia 60's
 
dogo ww ringia tu hayo banda siku utakapoingia mtaani ndiyo utajuta tunakusubiri tu kwenye kutafuta ajira
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…